Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kariongo, Jan 19, 2013.

 1. K

  Kariongo Senior Member

  #1
  Jan 19, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani picha ni full kukwama. Najuta kununua.
   
 2. nash2010

  nash2010 JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2013
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 630
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  kuna mtu humu anadai ali ambiwa "geuzia kisarawe" na startimes customer care.
  Sikumbuki kama ni antena au king'amuzi ndo ali ambiwa ageuze
  So wewe geuzia vyote kisarawe itashika tu
   
 3. K

  Kariongo Senior Member

  #3
  Jan 19, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata ugeuzie Mkuranga hamna kitu, hii kampuni magumashi tu.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Star Times ni kilio kingine kwa watanzania, full usanii.
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2013
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,193
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  :coffee:
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 11,823
  Likes Received: 3,495
  Trophy Points: 280
  Nilisema kuwa hawa jamaa ni hovyo. Toka lini China akatengeneza kitu cha maana duniani! Hovyo kabisa. Tutaponea wapi Mungu wangu!!!!!
   
 7. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,693
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  Changu nimeweka sebuleni kama pambo angalau kujaza sehemu za shelf zilizowazi. Hichi kitu hakifui dafu hata kwa decoder mediacom 930 ya dish.
   
 8. M

  Magano Member

  #8
  Jan 20, 2013
  Joined: Nov 19, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi siku hizi nimeachana na mambo ya TV ni kuangalia Movie kwa kwenda mbele!
   
 9. security

  security JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa taarifa.
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kha ha ha ha ha ha ha haaaaa! Hakianani sijacheka muda mwingi humu jamvini,duh! Ina maana hivyo ving'amuzi havishiki chanel yoyote? Kheri tu sijaenda kutupa shiling yangu! Poleni wote wale wanaopatwa na dhoruba hiyo na kama vipi wale wote walioko nje ya A town waviangalizie kanda hii!


   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 32,208
  Likes Received: 7,259
  Trophy Points: 280
  Ukiwa Member wa JF Tv si muhimu sana, taarifa zote kabla hazijatoka sisi tunazo hapa. bado sijasahau tulivyotapeliwa na GTV na Serikali haikuwahi kututetea turudishiwe pesa zetu.

  Mimi king'amuzi kununuwa labda mwezi wa 3 ndio nitajuwa kampuni ipi ni ya ukweli, Tv yangu wacha ipumzike kwanza nianze kuangalia DVD zangu ambazo zimejaa ndani na sijaziangalia.
   
 12. p

  pilau JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,515
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ............. Nchi hii Tanania ni nchi ya kutupiwa matamataka kutoka sehemu mbalimbali za dunia.. hebu angalia mitumba ya mascania yanavyofia barabarani na kusababisha foleni... ATM za benk hali kadhalika ni mbovu hazifai.. nchi hii hakuna viwango vinavyosimamiwa kuingizwa kwa matumizi ya Wa Tanzania ..... serikali hii ni sikivu hata mimi nakubali
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2013
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,746
  Likes Received: 5,136
  Trophy Points: 280
  Ngoja nisubirie Digtek...
   
 14. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2013
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,104
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Siku zote naona watu wanalalamika humu jukwaani lakini mimi
  sijawahi kuona tatizo lolote la king'amuzi hiki nakitumia kizuri sana
  naburudika sana, nilinunua cha kwanza mwaka juzi nimempa shangazi
  na kinafanya kazi vizuri, mwaka jana mwishoni nimenunua hiki cha 39,000
  nacho kimetulia sana yaani safi sana. Kama muna mipango ya hujuma
  za kibiashara hebu wekeni wazi wakuu.
   
 15. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 13,945
  Likes Received: 3,623
  Trophy Points: 280
  kikisha chemka huwa hakibadilishi station. mia
   
 16. K

  Kariongo Senior Member

  #16
  Jan 20, 2013
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unafanya kaz huko, give us a break, yaani tumetupa hela yetu, huduma mbovu. Ngoja hiyo digtake ije nami nahama.
   
 17. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2013
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,604
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Mkubali starehe garama ni vizuri unaponunua king'amuzi cha startime usiache kununua ile antena yao ni zaidi kuliko kutumia hizi antena zetu za sido. Zinakamata ila hazina mkadirio wa udakaji wa mawimbi. Ushauri wa kiufundi; wakati unaseti antena yako chukua limot yako nenda kwenye system seyteng, ipe "OK" vipengele vitakavyojitokeza nenda signal status upande wa kulia kutatokea mstari mi3 cheza na antena yako kwa kutumia mistari hiyo kuizungusha, kuiipandisha juu zaidi ama kuishusha mpaka ufikie viwango nitavoelekeza hapo mbele. Hakikisha mstari wa juu unapata %50 signal stregth. Huu mstari unakusaidi kujua ubora wa mawasiliano kuanzi waya wenyewe dacoder/Receiver. Kama kuna titizo conectin kati ya vitu hivi Mstari juu na kati haitaingia rangi kijani. Mstari wa kati signal Quality, huu ni mstari unaokuonyesha ubora wa upokeaji mawimbi, hakiki unapata kuanzia %70 na kuendelea. Mstari wa mwisho BER Huu ujitahidi rangi yote ya kijani ihame na unakuwa mweupe isome 1E-9 Nina uhakika picha utapa mzuri hakuna kukwama titizo la wengi ni la kiufundi mnatafutia signal kwenye picha ukipata chanel uliotegesha unajua zote zitashika kwa usahihi na hawa Startime costamer wao lazima mwenye uelewa hii kitu. Maana siku nimeenda kununu king'amuzi cha namuuli za kama kuna friquence za kuingaza kama receiver ya dish. Akanijibu mitambo yetu iko kisarawe. Si biasha ukikwama niemel nikusaidie ismaabby@gmail.com
   
 18. j

  jolyjoly Member

  #18
  Jan 20, 2013
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2013
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,693
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
   
 20. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,837
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 0
  Antena itazame Kisarawe utapata signal
   
Loading...