KAZ kama KAZ
Member
- Sep 7, 2014
- 43
- 10
Labda ni kweli,kwanini ampige ban
OHHH HUU MWAKA MGUMU SAN KWA KWELI, .... R.I P MAZA.. duuh alikuwa anumwa mbona gafla hivi???
Mama Maria Nyerere afariki dunia ghafla sasa hivi.Bado naendellea kufuatilia ukweli wa habari hii.
Source mdogo wangu anaeishi Butiama.
hizo habari ni tetesi tu hazijathibitishwa na familia wala chombo chochote cha habari
Inaelekea walioanzisha 'uongo' huu, itakuwa ile squad inaowanyofoa albino viganja vyao vya mikono wakiwa hai.Mama Maria Nyerere afariki dunia ghafla sasa hivi.Bado naendellea kufuatilia ukweli wa habari hii.
Source mdogo wangu anaeishi Butiama.
Mkuu hapa kinachotafutwa ni kutafutiwa tukio ili kututoa kwenye mjadala wa PHILIP MANGULA kuhusika na njama za kupanga mauaji ya Dr. SlaaTired of this habari