Usafiri wa UMMA Nairobi wazidi kuvutia abiria-wakati Dar ni kero tu!

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,223
1,673
"Wi-fi - Mtandao wa Dijitali Kwenye Matatu"

Mbali na mitindo ya michoro kwenye matatu kuna mtindo mpya unaoibuka wa utumiaji wa mtandao wa wi-fi kwenye magari hayo unaowavutia biria wa usafiri wa umma' siotu vijana bali pia wazee hususan kwenye safari za masafa marefu. Mtindo ambao wengi wanaufahamu sana kutumika kwenye maofisi ama mahali pa starehe hali inayodhihirisha wazi kuwa Kenya inaelekea katika enzi za digitali, wakati Tanzania mchakato mzima wa Digital ukioneka kuwa kero kwa wananchi.

"Kwa Kenya' Muziki ndani ya matatu ulipoanza, ikawa maendeleo, TV & video kama umetulia ndani sebureni kwako, zikafuatia na sasa abiria wana enjoy huduma za mtandao wa internet maarufu kama wifi bure bilashinda."

Ni Kampuni ya mawasiliano ya safaricom imezindua mpango huo.

Source: BBC
===
Kenya: 200 Matatus Go Digital With Free Wi-Fi

Mobile service provider Safaricom has launched a public transport free Wi-Fi initiative together with the Matatu Owners Association in an initiative dubbed "Vuma Online" that will see passengers access free Internetin more than 200 matatus and buses by September this year.
The initiative targets matatus plying different routes within the city of Nairobi and its environs as well as buses on the Nairobi- Mombasa route where Safaricom will install modems on the PSVs to providefree Wi-Fi services to commuters.
Speaking during the launch held at Buruburu shopping centre, Safaricom Chief Executive Officer Bob Collymore hailed the partnership with thePSV sector noting that the move to provide "mobile Internet" was a perfect example of products and services adapting to suit consumers' lifestyles.
"Most of our customers use matatus and buses as their preferred mode of transport ona day-to-day basis. This therefore presents us with a fantastic opportunity to drive home the Internet story and make it a way of life among ourcustomers whom we believe we will achieve by availing free Wi-Fi internet in matatus," he said.
A total of 46 Public Service Vehicles plying the Buruburu, Langata, Rongai, Umoja, Githurai, Dandora, Kiambu and Kenyatta University routes havealready been fitted with subsidised Wi-Fi routers in the Sh7 million initiative which is part of the Telco's ongoing effort to grow its data footprint.
Collymore added; "The president and his deputy have been saying of going digital and this is what we are doing now. With this Wi-Fi, the commuters will be able to access information in internet through their phones for free."
The Matatu Owners Association Chairman Simon Kimutai welcomed the move saying thiswas going to scale the industryto greater heights.
"People will no longer get bored while held up in jam because they can chat through Facebook, tweet and much better students can be doing their research as they go to training centers," he noted.
"This is a very exciting phase for the PSV sector. We have a lot of innovation put into busesand matatus over the years, but this is a major milestone. With over 300,000 Kenyans using public transport every day, we believe having Wi-Fi in PSV's will go a long way in making our passengers commute worthwhile."
He added, "The whole country is turning digital... the matatu industry cannot afford to remain behind."
The commuters will be required to have a phone that can access the Internet and Wi-Fi enabled.
With 1,439 bases 3G base stations, Safaricom accounts for more than 50pc of all Internet connections in the country. Data accounted for more than 23pc of the overall revenue for the telecommunications firm last year, from the 4.6 million customers as at March 2011.
 
Wenzetu wako mbali sana kiuchumi kisiasa hasa ukizingatia kuwa na katiba mpya pamija na sayanzi na Technolojia. Barabara nyingi za kisasa za kupunguza misongamano hasa katika majiji. Nikuwa nikisoma chuo katika mji mmoja wa Thika miaka ya 1997 mji huo ambao ulikuwa mdogo lakini ulikuwa na pilikapilika kubwa za kiuchumi na bihashra. Mji huu wa Thika ndiko kilipo kiwanda kikubwa cha kusindika juisi ya mananasi cha Del Mounten na mashamba makubwa sana ya mananasi ya maekari mengi, pia kiko kiwanda cha BIDCO kinachozalisha mafuta ya kupikia na kiwanda cha METAL CROWN kinachotengeneza vifuniko vya soda (vizibo). Kwa sasa mji wa Thika unaaminika kuwa ni mji wenye barabara nzuri na za kisasa ncini humo
 
Kumbuka kuwa bongo wakati mwingine majambazi husimamisha mabasi na kupora simu za bei ndogo tu, je abiria wakiwa na kompyuta ama vifaa vingine vya kidisasa kwa mawasiliano ya intaneti si ndio hapatakuwa na usalama kabisa?
 
Watanzania wao mabango ya waganga wa kienyeji kili kona wakenya wao mabango ya vyuo vya kujifunza matumizi ya komputa,sisi siasa tu.wakati wa rwanda kila jengo refu lazima liwekwe wi fi wezetu wengine watatupita sana,kwa matumizi ya internet,

Source: BBC
===
Kenya: 200 Matatus Go Digital With Free Wi-Fi

Mobile service provider Safaricom has launched a public transport free Wi-Fi initiative together with the Matatu Owners Association in an initiative dubbed "Vuma Online" that will see passengers access free Internetin more than 200 matatus and buses by September this year.
The initiative targets matatus plying different routes within the city of Nairobi and its environs as well as buses on the Nairobi- Mombasa route where Safaricom will install modems on the PSVs to providefree Wi-Fi services to commuters.
Speaking during the launch held at Buruburu shopping centre, Safaricom Chief Executive Officer Bob Collymore hailed the partnership with thePSV sector noting that the move to provide "mobile Internet" was a perfect example of products and services adapting to suit consumers' lifestyles.
"Most of our customers use matatus and buses as their preferred mode of transport ona day-to-day basis. This therefore presents us with a fantastic opportunity to drive home the Internet story and make it a way of life among ourcustomers whom we believe we will achieve by availing free Wi-Fi internet in matatus," he said.
A total of 46 Public Service Vehicles plying the Buruburu, Langata, Rongai, Umoja, Githurai, Dandora, Kiambu and Kenyatta University routes havealready been fitted with subsidised Wi-Fi routers in the Sh7 million initiative which is part of the Telco's ongoing effort to grow its data footprint.
Collymore added; "The president and his deputy have been saying of going digital and this is what we are doing now. With this Wi-Fi, the commuters will be able to access information in internet through their phones for free."
The Matatu Owners Association Chairman Simon Kimutai welcomed the move saying thiswas going to scale the industryto greater heights.
"People will no longer get bored while held up in jam because they can chat through Facebook, tweet and much better students can be doing their research as they go to training centers," he noted.
"This is a very exciting phase for the PSV sector. We have a lot of innovation put into busesand matatus over the years, but this is a major milestone. With over 300,000 Kenyans using public transport every day, we believe having Wi-Fi in PSV's will go a long way in making our passengers commute worthwhile."
He added, "The whole country is turning digital... the matatu industry cannot afford to remain behind."
The commuters will be required to have a phone that can access the Internet and Wi-Fi enabled.
With 1,439 bases 3G base stations, Safaricom accounts for more than 50pc of all Internet connections in the country. Data accounted for more than 23pc of the overall revenue for the telecommunications firm last year, from the 4.6 million customers as at March 2011.[/QUOTE]
 
Juzi nilikuwa huko. kwa kweli Barabara ya Thika Super high way ni moja ya barabara bora kabisa
 
Sisi tunajenga barabara finyu ambazo zilitakiwa kujengwa miaka 20 iliyopita,mfano mzuri ni Mandela road, Morogoro road na hii ya Bagamoyo!
 
tutafika tu huko, cha muhimu kuwatoa hao mafisadi then tuijenge yetu nchi
 
Nilikuwa nikijiuliza sana kuhusu jambo hili lakini baadae nalipuuza kuwa huenda ni macho yangu tu yanayoona kuwa barabara tunazozijenga sasa ni nyembamba sana ikilingabishwa na za Kenya.
 
Tutawatoaje ndo hao wameshasema polisi wawapige tu walalahoi wanapokaidi amri, hata km ni za kutetea mafisadi WAPIGWE TU, huyu mpimbwe vipi huyu,
 
Migari yenyewe mibovu hiyo mnisifia bure.
Daladala za Dar ni better kuliko, kwanza watu wanataka wawahi kzn, wifi ya nn wakati wamesimama. Dar foleni tu ndiyo imezidi
 
Bongo tumelala kwa kila kitu.Tunaona lakini tunajifanya tu vipofu, Tunasikia lakini tunaziba masikio , Tu matajiri wa rasmali lakini tu maskini wa mali, Tuna miji mizuri lakini mipango miji imelala,Tuna kila kitu lakini tu wahitaji wa misaada kila siku
 
Migari yenyewe mibovu hiyo mnisifia bure.
Daladala za Dar ni better kuliko, kwanza watu wanataka wawahi kzn, wifi ya nn wakati wamesimama. Dar foleni tu ndiyo imezidi

...mkuu matatu kwa Nairobi iko juu zaidi ya daladala zetu za hapa nyingi ni mbovu kupita kiasi' hasa maeneo ya kwenda pembezoni mwajiji, na wakati wa jioni kuanzia saa1 usiku daladala zinazotoa ni mbovu.
=
1278975329-matatu-phenomenon-in-nairobi_24104.jpg

=
my-matatu-mini-bus-to-moshi-nairobi-kenya+1152_12931823922-tpfil02aw-27532.jpg

=
9_central20bus20station20matatu20kampala.jpg

=
central matatu bus station
=
4874447-Kampala_matatu_station_Kampala.jpg

=
 
Wenzetu wako mbali sana kiuchumi kisiasa hasa ukizingatia kuwa na katiba mpya pamija na sayanzi na Technolojia. Barabara nyingi za kisasa za kupunguza misongamano hasa katika majiji. Nikuwa nikisoma chuo katika mji mmoja wa Thika miaka ya 1997 mji huo ambao ulikuwa mdogo lakini ulikuwa na pilikapilika kubwa za kiuchumi na bihashra. Mji huu wa Thika ndiko kilipo kiwanda kikubwa cha kusindika juisi ya mananasi cha Del Mounten na mashamba makubwa sana ya mananasi ya maekari mengi, pia kiko kiwanda cha BIDCO kinachozalisha mafuta ya kupikia na kiwanda cha METAL CROWN kinachotengeneza vifuniko vya soda (vizibo). Kwa sasa mji wa Thika unaaminika kuwa ni mji wenye barabara nzuri na za kisasa ncini humo

...mkuu ni kweli, wenzetu wakenya hasa viongozi wanaona mbali sana kuhusu uchumi wa nchi yao, nani kweli wametuzidi sana ki siasa, elimu, miundombinu yao inaridhisha ukilinganisha na yakwetu.
 
Nilikuwa nikijiuliza sana kuhusu jambo hili lakini baadae nalipuuza kuwa huenda ni macho yangu tu yanayoona kuwa barabara tunazozijenga sasa ni nyembamba sana ikilingabishwa na za Kenya.

...umenena!
Angalia barabara ya Ubungo (morogoro road) ijengwa majuzi tu kwa mabilioni ya fedha' mwanzoni mwa kipindi cha Mkapa, sasa JK anaibomoa kwa kuteketeza kodi za watanzania walala hoi, kisa 'mradi wa mabasi yaendayo kasi, mradi unaochechemea',
njia ya Bagamoyo inatinduliwa mara kwa mara, na kule Sekenke tunaambiwa nako ilifumuliwa na kujenga upya kwa usawa wa mwanzo. Hapo ndipo tutambue kuwa viongozi wetu wengi hawana fikra pevu, wanachofanya ni KUFUNIKA KOMBE... ili matumbo yao na familia zao washibe...
 
tutafika tu huko, cha muhimu kuwatoa hao mafisadi then tuijenge yetu nchi

...mkuu, kwa mwendo huu wa viongozi wa akili zilizochoka na kuchakaa, na mambo ndiyo haya tunayo yaona kwa sasa ya polisi jamii...safari itazidi kuwa ngumu.
"kinachotakiwa kwa sasa nikufanya mabadiliko ya gafla ili kumuondoa nduli katika kiti cheke alichojimilikisha kuwa yeye ndiye mtawala aliye bora" "THE CHANGE"
 
Daladala - Ubungo Station
=
mbagala_randi_tatu_bus.jpg

=
Ubungo.jpg

=
Dala-Dala_Hotels-Association-Tanzania.jpg

=
Dala+dala.JPG

=
Bagamoyo-daladala.jpg

=
DSCN0377.jpg

znz
=
MG-7728-Zanzibar-Daladala.jpg

=
 
  • Thanks
Reactions: EMT
...mkuu matatu kwa Nairobi iko juu zaidi ya daladala zetu za hapa nyingi ni mbovu kupita kiasi' hasa maeneo ya kwenda pembezoni mwajiji, na wakati wa jioni kuanzia saa1 usiku daladala zinazotoa ni mbovu.
=
1278975329-matatu-phenomenon-in-nairobi_24104.jpg

=
my-matatu-mini-bus-to-moshi-nairobi-kenya+1152_12931823922-tpfil02aw-27532.jpg

=
9_central20bus20station20matatu20kampala.jpg

=
central matatu bus station
=
4874447-Kampala_matatu_station_Kampala.jpg

=

Okay, maana minilionambovu. Labda ni ishu ya ulinganishaji sasa.
Lkn hizo pics nyingine ni za Kampala, nilifika hapo nami nilizitwanga zangu!
 
Back
Top Bottom