Wakubwa wana kila kitu at their disposal..pesa..protection hata na privilage ya kwenda kutibiwa nje..sasa malaria ya kumpeleka icu...
subu wanga=tupa uchawi: huko kwenu hata mtu akipaliwa na mate amelogwa, sishangai mchango wakOo
Habari zinazozunguka kichinichini Magogoni na Central ni kuwa kuugua kwa ghafla kwa Manumba kuna ukaribu mkubwa na masuala aidha ya madawa ya kulevya, meno ya tembo/vifaru au Ulimboka. Nyepesi zinasema kuwa kabla hajaugua ghafla (Malaria ya siku mbili hadi ICU), alipitia baadhi ya taarifa zinazogusa upelelezi wa siri (status updates) wa masuala hayo.
Inasemekana kuwa mmoja wa vijana wake kikazi naye ana wasi wasi maana alim-feed Mzee updates fulani fulani.
Niliulizwa nishawahi kuona malaria ikampelekeka mtu ICU Aga Khan halafu haelekei kutoka?
Napotelea kwetu kiungani, mjini hatari.
Hivi mkubwa yeyote akiugua au akifa kwanini watu wanahusisha na hujuma? kwani hawa watu hawatakiwi kufa au kuugua!
Hiyo ishu ya madawa ya kulevya CHINA NI YA KUTUNGA NA ILOKUWA NA NIA YA KUWAOKOTA MASHABIKI WA CHADEMA NA VIONGOZI WAO.NI KAMA ILE KURA FAKE ZA TUNDUMA.Kuna watu wapo kazini hapa hapa JF.Au ni ile ishu ya madawa ya kulevya ya mtoto wa kigogo iliyotokea China? Pia najiuliza, kwa jinsi Manumba alivyojibu suala la Mwakyembe, usafi wake uko wapi hadi kuhusianishwa na kuingilia dili za wakubwa? Alishindwaje kumtetea Mwakyembe na leo azuie mambo ya watu? Ni dhana tu hizi lakini
Hivi mkubwa yeyote akiugua au akifa kwanini watu wanahusisha na hujuma? kwani hawa watu hawatakiwi kufa au kuugua!
link kati ya ugonjwa wa manumba na ulimboka siipati!
Habari zinazozunguka kichinichini Magogoni na Central ni kuwa kuugua kwa ghafla kwa Manumba kuna ukaribu mkubwa na masuala aidha ya madawa ya kulevya, meno ya tembo/vifaru au Ulimboka. Nyepesi zinasema kuwa kabla hajaugua ghafla (Malaria ya siku mbili hadi ICU), alipitia baadhi ya taarifa zinazogusa upelelezi wa siri (status updates) wa masuala hayo.
Inasemekana kuwa mmoja wa vijana wake kikazi naye ana wasi wasi maana alim-feed Mzee updates fulani fulani.
Niliulizwa nishawahi kuona malaria ikampelekeka mtu ICU Aga Khan halafu haelekei kutoka?
Napotelea kwetu kiungani, mjini hatari.
Kujadili na kuhukumu vitu visivyo na uthibitisho ni "UPUUZI" Lakini kutokujadili tetesi kwa lengo la kupata uthibitisho, pia ni "UPUUZI".
- ingawa ukitaka kuwa mwongo uwe na kumbukumbu nzuri usichanganye madawa.