Recent content by Jogoo mbegu

  1. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Ndo Mambo mapya siasa mpaka ktk elimu, miaka yetu ukipata dvs one unaweka historia kijijini/mtaani miaka kadhaa!! Sasa dvs one ni Jambo la kawaida sawa na bure tu 😂😂
  2. Jogoo mbegu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni kujichubua

    Asante mkuu, kumbe mjumbe alimaanisha KUJICHUA na siyo KUJICHUBUA sasa nimeelewa shukran 😁
  3. Jogoo mbegu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni kujichubua

    KUJICHUA AU KUJICHUBUA!! AU MI NDO CJAELEWA😂😂
  4. Jogoo mbegu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada; Tv za kichina nzuri ni zipi?

    Cjaelewa, kwamba unataka Tv au runinga au vyote kwa pamoja?!
  5. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania TMA watabiri mvua kubwa Jumamosi na Jumapili

    Cjaelewa, kwamba sirikali imesema Dar wahamie Tabora au?!!
  6. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Cjaelewa, kwamba umechukia au umefurahia?!
  7. Jogoo mbegu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mademu wa kishua ni mzigo

    Sijaelewa, unamzungumzia yeye au wewe?!
  8. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

    😂😂😂
  9. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

    Mkuu wewe unaakili sana, wewe ni tunu ya taifa
  10. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Mkuu wewe unaakili sana wewe ni hazina bora ya taifa 😂
  11. Jogoo mbegu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

    Mkuu unaakili sana, wewe ni hazina bora ya taifa
  12. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Mkuu wewe unaakili sana,wewe ni hazina ya taifa
  13. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Hivi kifaru cha kijeshi kinaendeshwaje wakati kimefunikwa kote?

    Mkuu una akili kali sana, wewe ni hazina ya taifa 😂😂😂
  14. Jogoo mbegu

    JamiiForums Tanzania Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Wachambuzi uchwara watasema CIA wanahusika 😁😁
Back
Top Bottom