Acheni kujichubua

Acheni kujichubua

Usiache kuwaambia na ukweli kuwa makeup haziwapendezi wakipiga picha ndo wanajiona wamependeza ila tukikutana nao macho kwa macho wanakua kama midoli ya udongo iliyopakwa rangi
Swala la makeup mpaka Leo sijajua nani anawadanganya waweke ,mfano unakuta mdada kama hamisa mobbeto au Irene uwoya ni wazuri wa asili kbsa lakini Cha ajabu ikitokea event wanajaza make up utadhani mzimu umeibuka makaburini huko geita

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Raha yake,unaiona kwa wale waliokwishaishamo mkuu. Mtu labda mambo hayajamuendea sawa,umri wa 55, ndo unajiuliza,huyu kafaidi nini.

Ila kiukweli,watukane,wafanyeje, lakini, pale hamna kitu. Hasa ukiangalia miguu yao
 
Swala la makeup mpaka Leo sijajua nani anawadanganya waweke ,mfano unakuta mdada kama hamisa mobbeto au Irene uwoya ni wazuri wa asili kbsa lakini Cha ajabu ikitokea event wanajaza make up utadhani mzimu umeibuka makaburini huko geita

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Makeup huwa zinawaharibu sana zinapoteza uzuri wao wa asili hazivutii unaogopa hata kumgusa mtu unahisi atakuachia rangi

Kuna mama mmoja makeup zimemuharibu sana nilibahatika kumuona siku moja bila makeup akiwa kwake kiukweli ngozi ya sura hadi imekua na mashimo mashimo yanaonekana kumbe zile makeup zikitumika sana huwa zinaenda kutanua matundu ya ngozi yasiyoonekana na mwisho yanaanza kuuonekana, ndo hapo mtu hawezi kuishi tena bila makeup lazima atumie ikazibe yale matundu yasionekane ili asiwe kituko
 
Makeup huwa zinawaharibu sana zinapoteza uzuri wao wa asili hazivutii unaogopa hata kumgusa mtu unahisi atakuachia rangi

Kuna mama mmoja makeup zimemuharibu sana nilibahatika kumuona siku moja bila makeup akiwa kwake kiukweli ngozi ya sura hadi imekua na mashimo mashimo yanaonekana kumbe zile makeup zikitumika sana huwa zinaenda kutanua matundu ya ngozi yasiyoonekana na mwisho yanaanza kuuonekana, ndo hapo mtu hawezi kuishi tena bila makeup lazima atumie ikazibe yale matundu yasionekane ili asiwe kitukuo
Daa Hadi huruma

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini

Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi ikemewe haraka

Kuna tukio Moja mdada alipendwa na jamaa mmoja kutoka Sweden yule mdada miezi sita waliyoachana na jamaa alitumia kujichubua jamaa anarudi miezi 9 mbeleni anakuta mwanamke kajichubua & alimuacha hapo hapo na matusi juu .
Hao wanawake wanaojichubua hawajiamini.

Na hao wanaume sisi tunasema watoto si rizki.
 
IMG_6312.jpg

Haya tupake Vitu natural Kama hivi…
 
Unakuta mtu usoni anawakaaaa angalia shingoni mikononi sasa

cc Smart911
Vidole vya mkono, vya mguu na shingoni. Wengine wakikongoloka,na mishipa ya damu.
Af unakuta mtu alikuwa yuko poa kabla ya mkologo,sasa umkatae,dadeki. Anakuwa kama kituko. Na mtaani ukiangalia,walio wengi ni ma single mothers,wengine vitoto vya 20s, ila vinaishiwa kulukaluka tu havina mwelekeo, sijui nani aliwadanganya
 
Lakini, ukiwaangalia waliojichubua,hasa wale wasio na uwezo wa kuendelea na mkologo, au wale waliozeeka, unaonaga si sawa?! Japo ni maamzi ya mtu.
Niliwahi waona Mwanza wanaojiuza, dahhh! Unajiuliza,huyu kweli nae anapataga wateja!
Hawako sawa.
Ila kiukweli kutoka moyoni, mkorogo si mzuri, kabisa.
Shida inakuja, unamfuma mwanaume wako anadate na mwanamke aliyejichubua, nawe unadhani huenda weusi wako ndio kikwazo cha mwanaume wako kwenda kutafuta mwanamke nje, nawe unaanza kujikoroga...kumbe unajiharibu

Wanaume ndio wanasababisha baadhi ya wanawake waendelee kujichubua.
Mimi binafsi, nina rafiki zangu wengi tu wamejichubua tena ile ki kweli kweli, huwezi amini:-

1. Wanatoa harufu, si kwenye ngozi zao tu, mpaka sehemu za siri, kwa sababu cream zina kila aina ya kemikali, incase katembea mwendo mrefu, au kakaa sehemu yenye joto lile jasho la ndani ya mapaja likikutana na mkorogo tu, harufu tayari huku kwenye mbususu.

2. Chunguza vyumba/maghetto mengi wanayoishi wanawake wale waliopitilza mkorogo, kuna kaharufu fulani huwa haka kapo automatically, huwa hakaishi vyumbani mwao huwa sijajua kwanini.
Hii naionaga kwa hao rafiki zangu.

3. Wakienda kujisaidia aidha haja ndogo au kubwa, wakishachamba ni lazima wajikaushe, wakijiacha na vimajimaji hata kidogo tu, lazima atoe harufu maana cream wanapaka mpaka huko kwa bibi, na hasa umkute ana makalio makubwa...utajuta.

Ila ndo hivo, wanakwambia Natural iachie misitu.🌲🌳🌴🌳🌲
Weupe ndo kila kitu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom