Recent content by jino

  1. J

    Msaada biashara ya kutumia mashine za betting

    Ndugu zangu za mida naomba kwa yeyote aliwahi kutumia machine za betting kama sehemu yake ya biashara anisaidie. Ninafikiria kufanya biashara hiyo hivyo nilikuwa naomba mnisaidie niweze kujua biashara hiyo kwa undani. Kama vile changamoto,faida pia vitu gani vinaweza kukupa hasara katika...
  2. J

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani nisaidieni naitaji kuwa na mashine za beting changamoto zake na unapataje pesa. Natanguliza shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mi nipo shy kama unaweza nije chato Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    VP shinyanga hapa mjini unaweza kuja nije chato Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    Kiukwel nakuona kama unatabia ya mke wangu japo yy ankila akiamka anawaza maendeleo ya familia na wala cyo yake nivizur sana kuwa na malengo yako lakin mshirikishe mwambie ba flan au au flan saiv naitaji namm saiv kufanya kile nilicho kuambia naomba sapot yako anajua atakusapot Siri yeyote katka...
  6. J

    Maajabu ya Mji wa Chato

    Hahhahahahahahaga Dah umenifurahisha sana mkuu Ila kinacho furashangaza zaidi chato kila mtumishi lazima acheze mgambo tena siyo ombi ni lazima. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Hiyo ndo fasihi tumia akili inawezeka kwel Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Zimbabwe hutumika kama Dr au mwalimu ndo maana ikiona katika video utawaona. Kama siyo mtunzi au mwanafasihi ningumu kuelewa. Wale Wa jkt wanajua. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Ukisoma huo mstari Wa mwisho Kwa mawazo yangu Inawezekana Roma alikuwa anasifiwa sana na mkuru mbele ya mtoto,hvyo mtoto akaona wivu na kuamua kutaka kumpoteza kabisa ila mkuru akaweka ngumu. We kakupa ambulence,mi kanijengea.....! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Tajiri namba Moja Duniani, Bill Gates azuru Tanga leo

    Swali ni kwann iwe tanga Na wakati juzi tu kulikuwa na mafuta ....... Macho kodo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

    Kuna mtu yeyote anajua ethics za upelelez au undercover agents. Je ? Unadhani lisu anamsimamo kuliko Dr slaa.? MDA NI ADUI MKUBWA SANA WA UMRI. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Niamini Tanzania nzuri itajengwa na wakenya

    Imani yangu ni kuwa kuna siku Tanzania itajengwa na watu kutoka nchi jirani za Est Africa kama Kenya na zingine kama ilivyo Marekani. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Wasamaria:Fahamu chanzo chao na kwanini walikuwa hawachangamani na Wayahudi!

    Kuna vitu ambavyo ni vigumu sana kudili navyo Mkuu,historia ya kidini na historia ya kikabira. Lakini jf hawakuwa wajinga kuweka majukwaa tofauti,hiyo mada ebu kaulize jukwaa la siasa naisi utapata majibu mazuri sana. Mengine itakuwa visa tu. Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
  14. J

    AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

    Hayo ndo mapenzi,wanajuana wamekubaliana,kuachana hao saiv ni Marachache sana. Cyo siku mbili nikuoe af kesho unaleta mambo mengiiiii na visingizio visivyo na mipaka. Hongeren sana wadada mjifunze,kwa wenzenu. Kama mke profesa na mke Wa Ay wamewavumilia sana waume zao. Sent from my Bravo Z11...
  15. J

    Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    Najaribu kufikiria tu. Kama ukuchini saivi haurusiwi kuchukua art. Na saivi huku juu hakuna kuacha physics maanake tunaitaji sayansi pure. Labda,nasema tena,labda kiongozi kaona masoma ya arts ndo ya haribu nchi,ni bora kuwa na watu sayansi wengi,kwa kisingizio cha walimu. Najaribu kufikiria...
Back
Top Bottom