Hakika ila nashangaa kwa nini wao hawataki sehem zingine wawekewe lami. Arusha barabara zote ni mikeka tena standard kila kona hadi ndani ndaniHakuna mahali kama Arusha.
Waambie Halimashauri ndio KAZI yaoaiseh....! wafanye mpango na morogoro waweke taa....., mfano pale makutano ya iringa road na barabara ya tumbaku, hatari sana pale, pia eneo la kihonda magorofani na makutano ya dodoma road na pale njia ya mazimbu road,,,,ni maeneo hatari sana
Njoo na huku mji wa Magu kama unaelekea Musoma uone barabara za lami kila mtaa ila traffic light bado hatujaweka!! Wivu utakuua mkuu!!Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:
Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.
Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.
Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.
Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.
Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.
Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.
Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.
Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.
Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
Mpango wa kuweka traffic light pale Magu upo, zitawekwa kwenye makutano ya barabara JIRANI na eneo la gulio pale . Nadhani Chagadema watajinyonga very soon.Njoo na huku mji wa Magu kama unaelekea Musomauone barabara za lami ika traffic light bado hatujaweka!! Wivu utakuua mkuu!!
Mkuu huelewi kabisa,mleta mada katumia lugha ya pichaWeka video,hata hivyo kama chato ipo Tanzania najivunia kuwa na mji kama huo,huko Morogoro kama hakuna taa za barabarani tatizo ni lao,kuna Tanroads,kuna halmashauri ya manispaa n.k
Kuna vijimaneno vya kupata Kiswahili kama hivi hua nivyakipuuzi sanaHabari chonganishi.............
Hata angetumia lugha ya michoro kwani chato ipo Kenya?
Watu wanaizungumzia Chato kwa kejeli lakini tuizungumzie Chato kwa hoja na uhalisia wake. JPM ni Rais wa Tanzania na anatoka Chato kwa hiyo utake usitake mazingira ya Chato lazima yakarabatiwe na yarekebishwe kumuwezesha Rais kufanya kazi zake kwa ufanisi. Tukumbuke Rais haendi "likizo" kama likizo na hili linafanyika ulimwengu mzima. Mar-a-largo kule USA imefanyiwa hivyo. Pili kuhusu Airport nalo nafikiri ni la msingi ule ule tu. JPM atakauwepo miaka 5 ijayo na inawezekana hata 10. Kuutoa msafara wa Rais hadi Mwanza halafu uingize kwenye ferry halafu uende Chato nafikiri ni gharama kubwa sana vinginevyo uwe na "standby logistics kanda ya ziwa kitu ambacho nafikiri gharama zitakuwa kubwa sana sana. Kwa maoni yangu Airport ni shuluhisho muafaka. Assume JPM atastaafu 2025 bado eneo hilo litahitaji Airport kwa kuwa ukitua hapo utaweza kwenda migodini, Biharamuro, Muleba hadi Bukuba. Tatu turidhike tu kwamba zile nyakati za kujenga Airport Arusha na Moshi, barabara za lami kaskazini, umeme kaskazini zimefikia ukomo wa milele! Ni mawazo yangu tu lakini!Katika pilika za hapa na pale, basi nikafanikiwa kufika chato baada ya muda mrefu toka mara ya mwisho nlivyofika mahala hapa. Yafuatayo nimepata kuyaona kidogo:
Kati kati ya mji huu kuna mataa ya kuongozea magari barabarani, taa hizi ni kituko kidogo maana zinakusubirisha wakati hakuna magari mengine au watu wanaopita, yaan unaweza kujikuta uko tu mwenyewe na unasubiria tu taa zi ruhusu. Naam wale wa mikoa kama morogoro pamoja na umaarufu wa mkoa wake ila mataa kwao ni habari nyingine, hakuna kabisa kwaio hapa wanaweza wasinielewe.
Mitaa yote ya mji huu ina barabara za lami, ni karibu asilimia 90 mkeka tu, kuanzia za kati ya mji mpaka mitaani.
Wakazi wa huku kama nao wanajiona waTanzania namba moja, yaani kiburi kiburi hivi.
Barabara nzuri ila baiskeli zimetawala kweli kweli, anyway nyie wa rorya hapa mnaweza msinielewe au nyie we marinyi barabara mbovu wilaya nzima, kwaio naombeni utulivu wenu hapa.
Hospitali za mji huu ni full air conditions tu, kipupwe safi kabisa, na sijaona vihospitali kama sinza, Sijui temeke au wapi huko bado sanaa, kimiundo mbinu kwa hospital za chato.
Majengo ya serikali ni nadhifu na mazuri sanaa, yanavutia ata kuyatazama tu.
Kuna ulinzi mzuri tu, migambo wamejaa kila mtaa na wanachokera wanajifanya ni matrafic wanakamata hadi magari, sijui mamlaka haya wameyatoa wapi.
Kuna airport karibuni itaanza kutumika, japo ukiwaangalia wananchi tu walio wengi kwa kweli labda nauli zishushwe.
Wakuu tukumbuke kujenga vijijini kwetu ni muhimu sanaa. Ni haya machache tu na ndio nliyoyaona kwaio nisije kupangiwa vya kuona na kusema.
Kuna wa kule migombani(Moshi) sio viongozi lakini mbona wanafanya makubwa sana?Wa-Tz bana, mtu akijenga kwao anasemwaaa, asipojenga anasemwaaa!!!
Lipi bora?
Bora tule wote, kujenga home ndo uwajibikaji! Viongozi wapuuzi na wabinafsi hawakumbuki kwao.
JPM, has done well. Wengine waige kwao. Nilipitaga jimbo la aliyekuwa waziri wa kilimo Eng Chiza huko Kakonko, pabayaaaaaa utafikiri ni njia ya kuelekea jalalani huku jamaa linaishi Dar! Nikapita jimbo la Lukuvi, nako hovyo tu....
Sasa lipi bora???
Sent using Jamii Forums mobile app