Pole Dada ila smt016 naona ni mtaalam amekueleza dawa ya kutumia. Jf wanahitaji mwenye moyo wanafanya utani hadi mambo serous bhana, pole utapona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wengi ambao tungetamani mwenye kuelewa atujuze na sisitufaham tunafaidika VP na 6% mbona kama kidogo, kama nchi nyingine zinapata hadi 40% mbona Cc 6% ila wenda tukieleweshwa tutafaham. Kwa mwenye Elimu hapa tusaidie tu
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Pole Mkuu ila bado kama ulivyosema kuna watu wanna shida ila kuwatambua ni vigumu lakini akichokufanyia usiseme akioza ssmaki mmoja basis wote, ukiwa na moyo huo na Mungu kakuwezesha Fanya japo kauyafiti kadogo, wahenga walisema njia ya mwongo ni fupi, Ila huna asara mwenye asara yeye kajifungia
Kazi rahisi inamtegemea yeye na Mungu wana uhusiano na wala sii Dini wala Dheheb (Mungu;) hata kumaliza lakini Mungu na sio dini wala dhehebu haliwezi kumsaidia mtu
Mapokeo mabovu, ni kweli biblia inasema viongozi wa makanisa wameketi kwenye kiti cha Musa, ila mume anaitwa kichwa cha familia kama Kristo alivyo kichwa cha Kanisa, hivyo mke kutomtii mume ni kinyume na neno la Mungu, pia mume kutoyajali mahitaji ya mke ambaye ni mwili wake ni kutokumpenda...
Hapana mkuu unawazungumzia wenye ndoa kila mtu amjali mwenzake ukiendelea hapo mbele kidogo utaona anasema mume hana amri juu ya mwili wake ila mkewe kadhalika mke hana amri juu ya mwili wake ila mumewe. Maana yake mke ajali mahitaji ya mume na mume ajali majitaji ya mke, hapo tutakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.