umerudi? rubii ajiandaeDaah hivi kwa nini dada zetu wanapenda sana wanaume warefu weusi?
Kwa nini wanaume weupe au wafupi hawawapendi?
umerudi? rubii ajiandaeDaah hivi kwa nini dada zetu wanapenda sana wanaume warefu weusi?
Kwa nini wanaume weupe au wafupi hawawapendi?
Hapana aiseeh siwezi kuigizakama ana hela je?
Unaposema mmrefu maana yake sm ngapi, au ft ngapi?Mwanaume mfupi hapana aiseeh
rudi jandoni ukatahiliwe upya.umerudi? rubii ajiandae
CV imekamilika kila idara..kazi ni kwako.T
Unaivyo vigezo lakn???
Noted! ThnksThe Blacker The Berry The Sweeter The Juice
aisee tumekukosea nini?Maisha yangu yote mtu mweusi alikua apite kushoto! Sikuwahi penda mwanaume mweusi na nashukuru M/Mungu kwa kulibariki hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi?rudi jandoni ukatahiliwe upya.
Huna lolote, kama waogopa dhambi comments zote humu wazifuatilia nini????? Wewe ndio wale wale......... "SITAKI BWANA NIACHEEE.... " ,huku unafuata..ntaonekana nataman kitu ambacho nidhambi! tumeambiwa tushukuru kwa yote lol!