ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

Hapa bado tunapigwa tu. Kwanini wasichukue 50 na sisi 50?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Madini ni yetu, Mwekezaji/Capitalist/Exploiter anachimba analipa mrahaba only 0% - **% bado yote ni below 50% ambapo ungeweza ku.establish win win situation scenario, lkn unakuja hapa na ngonjera zako tutaneemeka how?
Uliza Robert Mugabe aliwezaje kula 51% na Mwekezaji only 49%, kati ya wanaoneemeka na sie tumo?. (Cursed land)
 
kuweka records sawa iyo kampuni haitambuliki kwa madai ya JPM na team yake pili unajua hatuna share wanachimba sasa ivi sheria mpya ndio tunapata 6% kutoka 4%? kwa lugha nyingine madini sio yetu kwa 94% upo hapo
Kwa kuongezea kidogo...ni kwamba hata sheria mpya haikuwalazimisha kulipa hiyo 6% na 1% ya export...wanalipa KWA SASA wakati bado wakitafakari mwenendo wa kibiashara baada ya hizi sheria mpya. Ndio maana hawajazungumzia shares za serikali za kuanzia 16% mpaka 50% na lile swala la kutorudishwa kwa VAT kama sheria mpya inavyotaka. Hii yote ya kukubali hiyo 7% kwa sasa ni kuepuka mdororo wa hisa zao katika masoko ya hisa baada ya kuyumba kutokana na zuio la makinikia.
Wenzao wa Geita Gold Mine wameweka bayana kusudio ya kwenda kwenye Baraza la Usuluhishi kwanza..na ndipo MDAs walizosaini zijadiliwe upya maana sheria hizi mpya zimeweka kipengele cha serikali kuwa na uwezo wa renegotiation hata baada ya kuwa na mikataba tayari.....yani kwa maneno mengine changing the rules of the game baada ya mchezo kuanza..
 
6% royalt... 1% ukaguzi.... 30% ya faida kodi ya mipango.... 18% VAT.... Kodi Zipo nyingi Lakini 6% ni miongoni mwazo

Sas
6% royalt... 1% ukaguzi.... 30% ya faida kodi ya mipango.... 18% VAT.... Kodi Zipo nyingi Lakini 6% ni miongoni mwazo

Sasa VAT si ipo kila bidhaa?
Tueleze katika thamani halisi ya madini yenyewe kama yalivyo bila kujali kodi nyinginezo, Kilicho chetu ni asilimia ngapi?
 
6% bado 94% wanachukua labda mie sijaelewa, ila kama ndio hivyo kuna haja ya watu kupimwa akili hapo!!

Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
Mbaya zaidi kuna watu huku wanashangilia na kuwakebehi wenzao...4% kwa 94%

-Domhome-
 
Yaani mbwembwe zote hizo ni kutoka 4 kwenda 6. Aisee aliyetuloga kafa
 
Mkapa alisaini mikataba iliyoweka mrahaba wa serikali 3%.

Kikwete akaahidi kulinfa maslahi ya Taiga kwenye Madini,akaunda tune,akasign mrahaba wa 4% toka 3%.

Magu akang'aka na kutuhubiria Noah na uzalendo,kasaign 6% toka 4%!!!!!

Tuandamane kwa hongera na kumtaka atawale milele!!!
Siunge anza na Kikwete mkuu au huyu una mahaba nae zaidi?
 
Mkapa alisaini mikataba iliyoweka mrahaba wa serikali 3%.

Kikwete akaahidi kulinda maslahi ya Taiga kwenye Madini,akaunda tune,akasign mrahaba wa 4% toka 3%.

Magu akang'aka na kutuhubiria Noah na uzalendo,kasaign 6% toka 4%!!!!!

Tuandamane kwa hongera na kumtaka atawale milele!!!H
Acha ujinga mkuu, ongezeko la asilimia mbili litakupeleka wapi?

Mchanga hautasafilishwa? Umeambiwa 1% kwa ajili ya kusafilishia makinikia na 1% nyingine kama kodi. Unachoshangilia nini sasa.

Si uliambiwa utapewa Noah, iko wapi?


Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
However, to minimise further disruptions to our operations we will, in the interim, satisfy the requirements imposed as regards the increased royalty rate applicable to metallic minerals such as gold, copper and silver of 6% (increased from 4%) in addition to the recently imposed 1% clearing fee on exports.
Wako serious au wanatishia nyau? Naona wamesha kubali au.........?
 
Kuna watanzania watachukia kwanini tulipwe hizo pesa na walitegemea tushitakiwe, Mungu ni mwema, tunamuomba na amesikia.ni wakati wa Tanzania kuneemeka sasa na natural resources tulizonazo
Lissu na wafuasi wake wamechukia sana, wao Furaha yao ni kuona tunaibiwa zaidi na tunapelekwa mahakamani
 
Back
Top Bottom