Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Kwani wanaume wote wasiowapa wake haki zao ni walokole? Hizo kesi ziko nyingi ila umesikia moja tu ya ulokole ukabeba mazima!!! We una ishu na ulokole...K
kweli mkuu jambo hili nimelizungumzia juu juu..
Ni mambo mengi sana hutokea kwenye ndoa hasa za walokole... Nakumbuka juzi nilisoma habari kwenye mtandao (jina nimesahau) Mama mchungaji anamlalamikia mumewe kwa kutompa haki yake kwa takribani miaka mitatu... Just imagine unaishi na mume ndani mnamaliza miaka mitatu hajakugusa si huuaji huo,jana pia huku jf nimeona dada yetu mmoja akilalamika mumewe hajishughulushi na maswala ya familia wote wakitumia kivuli cha ulokole kutokutimiza majukumu yao.