Jipu kwenye labia minora

Jipu kwenye labia minora

Mh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
Image IN BROWN ni normal L.minora
Image IN WHITE abysses usually exists in ectogenital part of a female genital parts. Kama ulishaenda hospital na ukafanyiwa matibabu ni mhimu zaidi ukafuata maelezo ya hao wataalamu kuliko STORI za humu ndani...utapata majibu na vionjo vinji sana!.

Kwani boyfriend/mwenza wako hana Fangasi (fungus) kwny genital yake??? (Scorotum)
 

Attachments

  • vag2.jpg
    vag2.jpg
    26.4 KB · Views: 646
  • images.jpg
    images.jpg
    8.1 KB · Views: 382
Back
Top Bottom