Pole sana. 2020 usirudie makosaKusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -
Pole sana. 2020 usirudie makosaKusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -
BAADA YA HAPO NAJUA KUNA KITU KILIFUATIA MAANA LAZIMA ALIVYOKUONA TUKutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
Aiseeeee uliachia mzigo kwa hofu mkuuNakumbuka ilikua mwaka 2001, niliteleza kutoka juu umbali wa mita 50.......
Ajabu ni sikuvunjika popote wala kujeruhiwa zaidi ya kujinyea tu kuwenye nguo.....![]()
![]()
![]()
Niliumia saaaana siku ile niliachia ngazi kwenye chama nikatupa kadi n kuhamia CHADEMA ila nilifurahi zaidi alipokua mgombeakulia na kutokula kwa siku 2 baada ya edo mamvi kuenguliwa ktk mchujo wa cc,ila furaha iliporud alipopata nafas ya kupeperusha bendera via UKAWA
Sent from my SM-G925T using JamiiForums mobile app
Huko sii kutembea uchi no ku- surprise NeybKutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
lini unampango wa kurudia tena usisahau kunistuaKutembea uchi kwa kigezo cha kujifanya nimechanganyikiwa
Huko sii kutembea uchi no ku- surprise Neyb
Post sent using JamiiForums mobile app



Ok love, i will let you knowlini unampango wa kurudia tena usisahau kunistua
Post sent using JamiiForums mobile app

Kashakuwa mumeo wakati mahari yetu hajaleta?Kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni sema bahati nzuri nilikuta mume wangu yupo pekeyake anaangalia mpira![]()
Kusimama kwenye foleni zaidi ya masaa matatu kumpigia kura mtu fulani.
Nahisi nilirogwa!
- KANA -
Ahahahaaaaaa uwiii kakaangu jamani mbona unakuwa hivyo amesema atalipa taratibuKashakuwa mumeo wakati mahari yetu hajaleta?
Huko kwenye masinema kuna kitu alikuwekea sio bure.





Are you seriousHata sikumbuki chochote mpaka leo acha tuu maisha haya ni kizungumkuti