Kwa hiyo trend inaonyesha kuwa kila awamu inaongezeka. Hivyo akitoka akaja mwingine tutapandisha kutoka 6 mpaka 8!! Hivyo bora aondoke mapema ili tuwapandishie tena!!Mkapa alisaini mikataba iliyoweka mrahaba wa serikali 3%.
Kikwete akaahidi kulinda maslahi ya Taiga kwenye Madini,akaunda tune,akasign mrahaba wa 4% toka 3%.
Magu akang'aka na kutuhubiria Noah na uzalendo,kasaign 6% toka 4%!!!!!
Tuandamane kwa hongera na kumtaka atawale milele!!!H
Alafu watu wanashangilia 6% wakati Botswana wanakamua 40%. Kweli nchi ya kusadikika hii.Wamesema watalipa 6% toka 4% ya waliokuwa wakilipa mwanzo
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
inaanza kutambulika sasa....pesa ndio kila kitu...kutotambulika kwa ACACIA ilikuwa ni manjonjo tu katika kuwakilisha maono ya kamati ya prof Osoro. "mtoto(acacia) ana haki na mali ya baba(barick)" lazima aseme sisi(familia) tuna mali hii na hiiLakini si mlisema kampuni ya ACACIA haijasajiliwa hivyo haitambuliki??!!?
Au?
sent from servant of God
Tena mie wanipe ya kwangu mapemaa! shauri lao waliozaa eti vitoto viwili vitatu ina maana watapata pungufu, mwenye watoto wengi na Noah zitapark nyingi hahahhaNoah zinakuja?
Tupo wengi ambao tungetamani mwenye kuelewa atujuze na sisitufaham tunafaidika VP na 6% mbona kama kidogo, kama nchi nyingine zinapata hadi 40% mbona Cc 6% ila wenda tukieleweshwa tutafaham. Kwa mwenye Elimu hapa tusaidie tuMi niwe muawazi sina elimu na jii mirabaha wenue elimu watujuze kiundani tunanufaikaje na hiyovkupanda had 6% na huo mrabaha una kokotolewaje na je kuna mapato mengine serikali inapata nje ya mrabaha na yale matrilion ya tume ni ya mirabaha tu? Na je nchi zingine inakuwaje kuhusu mirabaha yao haswa ghana na sauth africa
Nauliza haya ndugu nakwepa kufata mkumbo mwenye nia ya dhati naomba anieleimishe...kama umedhamiria kupotosha naokuomba niache hivi hivi kwanza
Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha kumbe sio moja kwa familia,bali ni moja kwa kila kichwa...hapo imekaa vyema mkuu,ngoja nihakikishe vyeti vya kuzaliwa vinakuwa sawa.Tena mie wanipe ya kwangu mapemaa! shauri lao waliozaa eti vitoto viwili vitatu ina maana watapata pungufu, mwenye watoto wengi na Noah zitapark nyingi hahahha
Bingwa wa kupindisha hoja ii kujifurahisha,utapasuka.Nadhani Acacia ndicho walichoandika.
Acacia imeona chapisho kwenye Gazeti la serikali la Tanzania la sheria mpya inayosimamia sekta ya maliasili. Sheria iliyopitishwa ni Marekebisho ya sheria ya Madini ya mwaka 2010, na sasa ni sheria rasmi na inatumiwa na mamlaka za Tanzania.
Acacia inapitia kuona athari ya sheria hiyo katika shughuli zake za uchimbaji madini kufuatana na mkataba wake na serikali ya Tanzania. Hata hivyo, kupunguza kungiliwa zaidi kwenye shughuli zetu, kwa kipindi cha mpito tutakidhi takwa lililowekwa hasa kuhusiana na kuongeza kiwango cha mrabaha kilichowekwa katika madini kama dhahabu, shaba na chuma cha 6% (Kimeongezeka toka 4%) na nyongeza ya 1% ya kusafirisha madini hayo.
Mrahaba ni kiasi mapato unacholipa kwa kutumia kitu ambacho sio chako kujipatia mapato hayoMi niwe muawazi sina elimu na jii mirabaha wenue elimu watujuze kiundani tunanufaikaje na hiyovkupanda had 6% na huo mrabaha una kokotolewaje na je kuna mapato mengine serikali inapata nje ya mrabaha na yale matrilion ya tume ni ya mirabaha tu? Na je nchi zingine inakuwaje kuhusu mirabaha yao haswa ghana na sauth africa
Nauliza haya ndugu nakwepa kufata mkumbo mwenye nia ya dhati naomba anieleimishe...kama umedhamiria kupotosha naokuomba niache hivi hivi kwanza
Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo, report ilionesha kuwa hiyo pesa iliyopotea ingeweza kununua Noah kwa kila Mtanzania. hahahaah.Ha ha ha kumbe sio moja kwa familia,bali ni moja kwa kila kichwa...hapo imekaa vyema mkuu,ngoja nihakikishe vyeti vya kuzaliwa vinakuwa sawa.
Na wewe lete tafsiri yako ya kilichoandikwa. Halafu wapi nimepindisha?Bingwa wa kupindisha hoja ii kujifurahisha,utapasuka.
Japo sikubaliani na hiyo royalty ya 4% na hii ya 6% lakini lazima haya mambo tuyaelewe vizuri ili hata tunapolalamika kuwa tunanyonywa basi tulalamike tukiwa na taarifa sahihi.Madini ni yetu, Mwekezaji/Capitalist/Exploiter anachimba analipa mrabaha only 0% - **% bado yote ni below 50% ambapo ungeweza ku.establish win win situation scenario, lkn unakuja hapa na ngonjera zako tutaneemeka how?
Uliza Robert Mugabe aliwezaje kula 51% na Mwekezaji 49%, kati ya wanaoneemeka na sie tumo?. (Cursed land)
Tungefanya kama Botswana nusu kwa nusu sababu madini hayazai
Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app