Recent content by JC

  1. J

    JamiiForums Tanzania Divided Perspective; Laana na Mashangilio

    Nimependa sana huu mchakato!
  2. J

    JamiiForums Tanzania “Wafadhili wa Kimataifa = Mafisadi Wakubwa”:: Kuliko Mafisadi waliondani ya nchi ..

    source:http://www.newhabari.com/mtanzaniajumapili/habari.php?id=69&section=ushairi Pamoja na makala hiyo,niafikiane na mtizamo huu: Kwanza: Nia njema yao tunaiharibu sisi wenyewe, nakubalina kabisa kuwa hapa tatizo ni la kwetu. Nilifikiri wangetakiwa wawe na nia njema iliyozidi hiyo kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jamani Haya Ya Sunflag Mmeyapata

    Ni kweli. Na ilipelekea kiwanda kufungwa na mkuu wa mkoa!
  4. J

    JamiiForums Tanzania UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    Hi! administrator. Pamekuwa na power flactuation...HECE the post imetokea mara mbili!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    MM.KIKE; Hii post iko mahali pengine ... but it worth this thread too!!! Tamko hilo la Roosevelt la “ogopa woga kwa moyo wako wote” Leo hii katika sanyansi na dhana mpya kabisa (1998/2000) ya kutathmini Ustawi wa jamii Emotional Intelligence (EI) au Ukomavu wa utu linachambuliwa hivi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    Tamko hilo la Roosevelt la “ogopa woga kwa moyo wako wote” Leo hii katika sanyansi na dhana mpya kabisa (1998/2000) ya kutathmini Ustawi wa jamii Emotional Intelligence (EI) au Ukomavu wa utu linachambuliwa hivi; WOGA unatizamwa katika njia tofauti kabisa na ile inayofahamika kwenye...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Agano Jipya

    Tamko hilo la Roosevelt la “ogopa woga kwa moyo wako wote” Leo hii katika sanyansi na dhana mpya kabisa (1998/2000) ya kutathmini Ustawi wa jamii Emotional Intelligence (EI) au Ukomavu wa utu linachambuliwa hivi; WOGA unatizamwa katika njia tofauti kabisa na ile inayofahamika kwenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Agano Jipya

    Rev. Kishoka. Napitia Kwa karibu Hotuba ya Franklin Delano Roosevelt aliyoitoa March 4 1933. sinayo kwnye library yangu. Nitarejea!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Siku JF Watakapoitisha maandamano nchi nzima

    Nafikiri tulishachangia hapa kuweko kwa maandamano hayo hapa nchini tarehe 5/2/08. Tusiyumbe yumbe na kumumunya mumunya maneno. kwani tunaposa nani? ..Lets do it!! Hili linalojadiliwa hapa liwe ni ukamilisho la hilo lililotangulia. Nafikiri Mimi Binafsi maandamano haya yatanikumbusha sana yale...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ufisadi: Truth and Reconciliation

    Mpenda Merikebu: Kwa kweli hii ni hoja nzito sana: Nimeamua tu kuchukua kifungu hicho kidogo ili kuanzisha gurudumu la huo mchakato. Kama kwa namna fulani hili likawezekana,itakuwa ni very serious NATIONAL REFORMATION ever taken place in our beutifull country Tanzania. Hili likitokea...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Kenya: wakati muafaka kulinisuru taifa?

    Honestly mimi sioni njia nyingine muafaka ya kufanya hapo jirani ili watu wasiedelee kuuana. Kama Jeshi lina nidhamu na litasimamia haki. Itakuwa bora kwani sura mbili Kibaki na Raila watakuwa "In Break" na muafaka utaweza kutafutwa bila wao kuwepo na ku-influence directly. Kibaki anapojiweka...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Agano Jipya

    Rev. Kishoka. I never thought there some people with such a positive clear understanding of arusha declaration as i have seen on this thread. I would like to thanks the contribution of links given by MMwanakijiji it contains such a valuable informations of the declaration. Also the doc. from...
  13. J

    JamiiForums Tanzania News Alert - Mashamba ya Ballali yavamiwa

    LINK HIII!!!http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2008/01/20/106674.html Balali aanza kuporwa mali 2008-01-20 09:58:34 Na Mashaka Mgeta na Job Ndomba Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Dk. Daudi Balali bado mzimu mkali umezidi kumuandama kufuatia mashamba yake kuanza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ballali aibuka na kujibu

    http://www.raiamwema.co.tz/08/01/16/3.php Pia:http:Mawaziri wahojiwa: //www.raiamwema.co.tz/08/01/16/1.php
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ballali Anyang'anywa Viza ya Marekani & Wengine Wasema Tayari Keshakimbilia Malta !

    Malizia story: http://www.raiamwema.co.tz/08/01/16/1.php
Back
Top Bottom