Recent content by Jason Statham2

  1. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

    Kaza Buti mkuu. Mie nilipitia hiyo Hali Tena afadhali wewe hujaathirika kivile. Mie nilliokolewa na familia Hasa mke na mtoto wangu. Kifupi nilitengwa na kuonekana SI baba Bora Wala mume Bora. Nilikonda Kwa madeni ofisini nilidharaulika kiafya nikaathirika . Heshimu uamuzi wako,punguza marafiki...
  2. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mtu akingatwa na mbwa mwenye kichaa, anachomwa sindano kwenye kitovu

    Ni kweli sindano zilikuwa zinachomwa kitovuni. Tena kwa kupishanisha leo ikichomwa upande wa kulia kesho upande wa kushoto. Ingawa si katikati ya kitovu. Mimi ni muhanga wa hii kitu miaka ya 70 huko labda kukua na mabadiliko ya utaalam chanjo huenda zinatolewa kivingine siku hizi.
  3. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Mchanganuo wa biashara

    Mbona sioni namba namba za fedha
  4. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza milioni 30 faida ya kilimo ndani ya miaka 3

    Acha kutoa siri za jeshi. Sisi tulio field tunakuelewa. Wao wamezoea light motivation speakers. Ndani ya humu JF wote ni wajuaji na wako vizuri financially. Niko chimbo nitalima ufuta na karanga mwaka huu nitarudi kama siyo hapa hata Pm tupeane ma ujanja.
  5. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mjamzito kupumua kwa shida

    Kitaalam tatizo la kupumua kwa wajawazito huchangiwa na kupanda kwa homoni ya progesterone. Hata hivyo tatizo hutokea kwa muda mfupi kisha mambo yanarudi normal na maisha yanaendelea. Mjina Mrefu witnessj
  6. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Alieanzisha kampuni ya Google Mungu ambariki sana
  7. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

    Nakutakia kila heri hasa project X ikamilike mwakani witnessj Mungu ni mwema sana kwetu. Amen
  8. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu: Haya maisha kuna kutoboa kweli? Najisikia kukata tamaa

    Natamani witnessj asome hii comment yako.
  9. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    @witnessj Uko makini sana kwenye huu uzi... yamekukuta?
  10. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

    Waooo thanks my [emoji173] see you on Xmas night... you know the place and dressing code. The file X and plan b MUST be activated on that night. I don’t really need anything as long I will be with you to make this Christmass beautiful for two of us...
  11. Jason Statham2

    JamiiForums Tanzania Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Issue no uwanja ambao tutakuwa guru kuingia na paka. Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom