Tatizo la mjamzito kupumua kwa shida

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Habari wakuu,

Naomba msaada, Mjamzito kupumua kwa shida wakati fulani huwa inasababishwa na nini?

Hii kitu inatatuliwaje? Maana hospitali walimpa tu dawa na kumwambia ni hali ya kawaida tu ila sioni mabadiliko.
 
Wife wangu ana hilo tatizo mwaka jana tumemkosa mtoto hivi hivi wandai pressure ilikuwa juu wakamwandikia sindano na vidonge kwa ajili ya kushusha pressure mwisho wa siku mtoto akawa achezi tena tumboni kwenda parestina hospital tukaambiwa mtoto alishafariki siku tatu zilizopita.
 
Back
Top Bottom