Watu wengi hurejea mikoa mingine ya Tanzania kama "mikoani", mathalani, mabasi yaendayo mikoani. Nadhani hii siyo lugha sahihi kwa sababu ina maanisha Dar es salaam ni Taifani. Unaposema mikoani kwani Dar es salaam siyo mkoa? Sema mikoa mingine inaleta maana nzuri zaidi.
Basi bwana, katika soma soma yangu threads katika jumba hili nikajawa na uchungu sana kuona baadhi ya makada wa Mapinduzi wakilalama CDM wanapandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Siri kali yao.
Nikakumbuka back in the days nlivokuwa mwanachama (lakini siyo kada) nikiwa jimboni kwangu, mara...
Goooooooooood!!!!!!!! Lakini huwezi kujiita msafi wakati umekaa jalalani, nenda sehemu safi ili udumishe usafi wako. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees ...............................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani this is disgusting, Ndugu wananchi hata mikataba mibovu inaingiwa kwa namna hii, wakati wenzetu wanakesha wakitafuta njia mbali mbali za kunegotiate mikataba, Viongozi wetu wanakunywa P...(waziri ya ujenzi), Wakati wa negotiation katika roung table Viongozi wetu wanakoroma (a lot of...
Owkey Sweetdada I've been doing the same katika maisha yangu ya miaka minne ya chuo,Nime volunteer, nimefanya internship but unaambiwa at least 5 years experience and expertise! are they serious?illogical!
Jamani wana JF, kuna waajiri wengine wanaudhi sana pale wanapotaka kuajiri mtu mwenye experience. Kuna watu ndo tumetoka chuo tunahitaji kazi ili tupate uzoefu wao wanasema experience....... experience? a lot of bullshit!Hivi nani alizaliwa na experience?wapi hao wenye experience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.