Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,692
- 58,749
chadema punguzen maandamano badala yake muwe washauri wazuri wawananchi kwani mi naona maandamano ni kelo kwa wananchi tofauti na ushauri.maandamano ya chadema yamekuwa yakileta vurugu licha ya kwamba hizo vurugu husababishwa na jeshi la polisi, lakini hata chadema nikisabishi kikubwa kwani ukiona kitu unachokifanya kinaleta maasiliko licha ya kulaumu wanaokuzuia inapaswa na wewe utafute njia mbadala badala ya kung'ang'ania kile ambacho kinaleta maasiliko kwa jamii na kwa wananchi waliokuchagua.kiujumla hata ukiwa mshauri mzuri wa serikali na wananchi zaidi ya kubezi kwenye maandamano kama njia ya kutatua matatizo.tatizo la kupanda kwa garama za maisha ni tatizo la mvua kutonyesha kwa wingi kwani mwananchi mwenye chagula kidogo hawezi kuuza chakula chake mpaka apewe hela nyingi na ndo mwanzo wa vitu kupanda ,
Kwahiyo mvua ikinyesha tu gharama ya maisha itapungua???