Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.
Nashukuru sister kwa taarifa!!
 
Tusiwe waongo. Chadema wanapata ruzuku zaidi toka rome
vipi ule mpango wa mahakama ya kadhi umeishia wapi?Shehe mkuu amewasaliti?Mimi nataka ije Shariah kabisa ila iwe ya waislam tu ili nijionee ni wanani watabadili dini fasta.
 
Kila la kheri Mungu awe nanyi kila hatua maana Wasira hataki watu waujue ukweli kuwa na yeye Bunda alihonga
Watakaokataa kusikiliza sauti ya mabadiliko kung'uteni vumbi na msonge mbele,huko wanahaha maana wamezoea kuiba sasa ajira yao ikiota nyasi itakuwaje wataishi vipi na hawajazoea mgao wa umeme maana wana majenereta,kununua sukari kwa kibaba maana wanagawia na ccm.adha ya usafiri kwani magari wamepewa kwa kutumia kodi zetu na wanajaziwa full tank wanaishia kupiga tu porojo hawana wanachofanya
Kitaeleweka tu
MWANZO WA UDHALIMU HUDANGANYA WALIOPO KWENYE MFUMO HUO LAKINI MWISHO WAKE HUWA NI KILIO NA KUSAGA MENO KWA WALIODHULUMU
 
Gooooooooooood, goooooooooood sana, thats my homeland. Najua kuwa mji huo hauna urafiki na jembe na nyndo. Peopleeeeeeeeeeeeez P 4rever.
 
Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
Duh!ulitaka CDM nao wawahonge wananchi kama CCM?
 
Achen kupotezea,kwann hamjbu maswal muhmu kama Slaa kuzusha kfo cha mkuu wa mkoa shytown,mnataka kufunika kombe mwanaharamu apte co
 
vipi ule mpango wa mahakama ya kadhi umeishia wapi?Shehe mkuu amewasaliti?Mimi nataka ije Shariah kabisa ila iwe ya waislam tu ili nijionee ni wanani watabadili dini fasta.
hata mimi huwa natamani iwe hivyo...
 
Achen kupotezea,kwann hamjbu maswal muhmu kama Slaa kuzusha kfo cha mkuu wa mkoa shytown,mnataka kufunika kombe mwanaharamu apte co
Anzisha thread tutakujibu vizurri zaidi au dr mwenyewe atakujibu....
 
Inaonesha Mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.Baadhi ya Wabunge tuko hapa Twiga Lodge tunasubiri muda ufike.Jana nako Chato mambo yalikuwa mazuri sana.

Nina safari ya kwenda nzega sasa, bila shaka mtakuja kulala nzega?. Tutalipia kila kitu ili ndugu zetu wanyamwezi walambishwe huu mwamko.
 
Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?

Unamawazo ya Ki-ccm hii ya mafisadi
 
Una uhakika na unacho kinena?

Muulize Padri Slaa atakuonyesha sponsor wote wanaomdhamini

Mijitu mingine, inakufanya ukasirike bila sababu. Hoja ya Roma imekujaje hapa! Au unataka kuaminisha kuwa CDM ni chama cha kidni? Hizi fikra mgando sijui ni lini zitayeyuka kwa watu kama wewe!

Umejibiwa vizuri kwani hata kama CDM kingekuwa chama cha kikatoliki, kisingepata ruzuku kutoka Roma bali wangekusanya na kutuma hela Roma! Simple logic hata hueelewi!

Tuna kazi kubwa ya kutoa huu mgando kwa watu wa namna yako, kabla hatujawaza njia mpya za kuleta maendeleo kwa watu. Lakin tutashinda tu!
 
Achen kupotezea,kwann hamjbu maswal muhmu kama Slaa kuzusha kfo cha mkuu wa mkoa shytown,mnataka kufunika kombe mwanaharamu apte co

Chadema Silaha yao kubwa katika mikutano yao ni Uongo, uzushi na kufarakanisha watu na Serikali yao kwa nia ya kuleta machafuko makubwa nchini..

Hatuko pamoja nanyi
 
Mijitu mingine, inakufanya ukasirike bila sababu. Hoja ya Roma imekujaje hapa! Au unataka kuaminisha kuwa CDM ni chama cha kidni? Hizi fikra mgando sijui ni lini zitayeyuka kwa watu kama wewe!

Umejibiwa vizuri kwani hata kama CDM kingekuwa chama cha kikatoliki, kisingepata ruzuku kutoka Roma bali wangekusanya na kutuma hela Roma! Simple logic hata hueelewi!

Tuna kazi kubwa ya kutoa huu mgando kwa watu wa namna yako, kabla hatujawaza njia mpya za kuleta maendeleo kwa watu. Lakin tutashinda tu!

Kwani wewe mtu wa kaskazini mwa Tanganyika?
 
Chadema Silaha yao kubwa katika mikutano yao ni Uongo, uzushi na kufarakanisha watu na Serikali yao kwa nia ya kuleta machafuko makubwa nchini..

Hatuko pamoja nanyi

fikra mgando!
 
Nina safari ya kwenda nzega sasa, bila shaka mtakuja kulala nzega?. Tutalipia kila kitu ili ndugu zetu wanyamwezi walambishwe huu mwamko.

Tunashukuru sana kwa kujali kwako.Tunatamani sana kufika huko lakini kulingana na ratiba hatutafika huko katika awamu hii.Baada ya hapa msafara utakuwa Mwanza then tutagawanyika na kwa utawala binafsi.Wengine watarudi Dar,wengine watakwenda kwenye Majimbo yao na wengine kwenye shughuli zao binafsi.
 
Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?

Acha utoto. Ubunge ni kazi kama zilivyo nyingine. Wana wake, waume, ndugu, jamaa, wapiga kura wao, n.k. sasa wasipolipwa wataishije?
 
Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?

nadhani huyu aliyeandika hapa anakasumba mbay sana ya kutaka kulipwa kwa kila kitu ,na hiindo inaangamiza taifa na wewe ni mwajiriwa wa serikali unaepata hivi viposho vya kila mara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom