Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

Labda nikuulize swali mtoa bandiko hapo juu.

Kuna tofauti gani kati ya maandamano ya Misri yaliyoasisiwa na Muslim Brotherhood na haya ya Tanzania yanayoasisiwa na Chadema?
naomba majibu tafadhali kama kweli umefuatilia habari za kimataifa na si kukurupuka.
 
kumbe anazungumziwa SOFIA SIMBA hebu nichape lapa maana nisije nkatapika buuuure
 
Hivi ccm haina msemaji mbona kila mtu akipewa nafasi anaropoka tu, kweli wemechanganyikiwa!!!

msemaji wamtoe wapi wakati rais wao tu kachanganyikiwa anaongea vitu havina mantiki sembuse mawaziri
 
carelessness.jpg

Duh!

Exim nao wakachemka! Two hundred thousand = 300,000 USD! Ha ha haaaa...

Umenipa kazi kujua nani kilaza zaidi kati ya Mzee Jakaya na Sofia, but you made my day!
 
Angekuwa Mama yangu,ningeomba kuwa adopted
 
Sitaki kumlaumu sana huyu mama nina wasiwasi sana na uwezo wake kichwani wakuwalaumu ni wanao mpa hizo fursa.
Haya ni baadhi ya mazao yanayotoka kichwani mwake.
1.Bungeni alilopoka hadharani kwamba haoni mwanaume kama lowasa.
2.Bungeni alishindwa kutoa kirefu cha SADC

Duuh! Kumbe Mbulu nae noma eeeh?
 
yaani huyu mwanamama hjamani huwa anatuaibisha wanawake ..
sijui kwanini huwa hajipangi kwenye mambo yake ...?
 
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

Sasa we Glad, unashangaa kitu gani hapo. Kwani huzijui kauli za Sofia Simba miaka yote? Usijipotezee muda kusikiliza hotuba za Simba.
 
sishangai Sophia kusema hili kwani alishawai kuwataka wanawake wawanyime unyumba waume zao kama watawaunga mkono wapinzani so sofia amaamin kwa nguvu ya ngono anaweza kumwendesha na kupata chochote kutoka kwa mwanaume.
Akili yake inawaza ngono tu na labda JK kampa hiyo WIZARA kama offa au aweke draft ya ngono kuzima harakati za ukombozi.
Ni wanawake wajinga tu kama yeye watakaomuelewa.

My take:WANAWAKE TUNATESEKA ZAIDI YA WANAUME NA HUU UGUMU WA MAISHA sasa sexy slave sofia anamaanisha nini?

safi dada yangu. KUDOS
 
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

Huyu mama ni kituko na kama ulifuatilia pia wakati anaongea na TBC kuhusu mimba za utotoni alisema wao hawawez kushughulika nazo ila waathilika wa mimba hizo wanaeza kwenda ofisini kwake wakutane na maofisa wake ili waelekezwe kwenye NGO.

Mama ni mropokaji mwingine huyo!
 
Nilisema wakati nachangia tread moja humu ndani najinukuu "nchi hii bado haijapata uhuru inahitaji kukombolewa" not yet uhuru.
 
Sophia Simba ni kimeo kingine hicho kwa chichiem....................................ni ndugu wa Makamba na Wasira.....
 
This only happens in Tanzania
Exim hapa walifanya makusudi kupima PhD ya mkwere

Duh wewe yoyo ndio umeleta picha hii, yan umenikumbusha mbali sana nadhani ilikuwa around 2006 kama sikosei, kwa wasio fahamu picha hii ilitoka kwenye gazeti moja hapa tz, nakumbuka ilikuwa majira, wakati huo nilikuwa nafanya kazi kwenye media house moja (sio business printers) tulicheka sana, siku nyingi nimefikiria jinsi ya kuipata ili ku share na great thinkers, and to my suprise here it is. Huo ni mfano halisi wa jinsi mambo yanavyoendeshwa na sirikali ya tz, ni kanyaga twende mradi kuna ulaji, sasa hiki si ni kituko jamani, halafu tunaambiwa oooh mkitaka kumualika prezidaa sijui mfanye nini... Mbona wao wenyewe wanachemka, sasa kama hawawezi kugundua inshu (issue) ndogo kama hii vipi kuhusu mikataba si ndio balaa kabisa!!! Na inawezekana mpaka mnuso unaisha hakuna aliyeshtukia issue, swali langu ni exim walitoa sh ngapi ya tarakimu au ya maneno? Kitendawili hicho tegueni. Asante kwa aliyeleta picha hii.
 
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

....alichoongea hapo ni ujuha!!!!
 
Hivi sophia simba si ndo aliripotiwa na gazeti moja akitamba kwamba aliwahi kufanya kazi ya kufungua vizibo vya bia baa!!?? Mnategemea ataongea nini. Alizoea kusikia walevi wakiropoka hovyo hovyo ndio maana Kauli zake nyingi ni za kilevi kilevi.
 
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

... nasi tunajua siku nyingi umuhimu wa dhana ya UONGOZO BORA kama hitaji muhimu ili tuweze chapa mwendo wa maendeleo.

Sofia Simba ni kioo cha UONGOZI rotten wa awamu iliyopo madarakani. Yeye na wenzake wengi tunawajua. No wonder, badala ya kupiga hatua mbele twarudi tulikoanzia kila siku. Kwata inapigwa palepale. Kwa upumbavu wao hawajioni kabisa. Kwa makusudi natumia neno WAPUMBAVU kwani ni mpumbavu tu amabaye haelimiki. Piga ua, ujinga unabaki palepale tu.

Basi tusirudie tena haya makosa. Suluhu yetu ni kuondokana na hawa.
 
Back
Top Bottom