JK apaa kwenda Paris leo...

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,529
8,614
....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
 
Anaenda kumwakilisha waziri wa michezo kwenye mkutano wa mawaziri katika kukuza michezo. afu amewaambia wasaidiz wake wasimpe taarifa zozote za bongo!
 
jana kasema yuko busy na kutatua matatizo yetu......labda anaenda nje kupata hewa nzuri iliaweze kutulia vizuri kutatua matatizo yetu
 
Natamani Mh. Dr. Slaa achukue nchi ili awe rais wa kwanza kutosafiri nje ya nchi, awe rais asiyeomba msaada nje ya nchi, asiyekopa, hakutakuwa na rushwa, mahosipitali yote yatajaa dawa na vifaa, shule zitakuwa na madawati bila kuchangisha wafanyabiashara na wananchi, hakutakuwa na wakwepa kodi, machinga hawatalipa kodi na watafanyia umachinga popote wanapotaka hata kama ni katikati ya barabara na airport, kariakoo igeuke taipei, mfumuko wa bei soko la dunia hautaikumba nchi yetu nzuri, madini tutachimba wenyewe bila kutegemea nchi au makampuni ya kilaghai, vijana tutakua huru kuandamana kufurahia au kulaani jambo bila kuhitaji polisi. Polisi na majeshi yatakuwa katika hali nzuri, mabomuu hayatalipuka hata kwa bahati mbaya/ajali, umeme utawafikia watu wote ndani ya miaka mitano nk.
 
funny-bumper-stickers-13.jpg
 
mambo yakienda vizuri huku .... TUTAMFUATA HUKO HUKO.

Na ninahisi ameenda kushughulikia suala la hiyo kampuni aliyosema ya kuzalisha 260MW , ameona alivyomuachia mshikaji wake kipindi cha Richond alipuyanga , kwa sasa amaeamua kufa mwenyewe.
 
Anaenda kumwakilisha waziri wa michezo kwenye mkutano wa mawaziri katika kukuza michezo. afu amewaambia wasaidiz wake wasimpe taarifa zozote za bongo!
mkuu hayo matusi bwana hata kama anakosea walau tumheshimu kuwa ni baba yake riz 1
 
Du, ama kweli! kunusa tu home kisha katimua tena... Acha akina Dr Slaa waendelee kujenga nchi na asiwalaumu
 
Back
Top Bottom