Maandamano ya CHADEMA Karagwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya CHADEMA Karagwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamakabuzi, Mar 3, 2011.

 1. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mji mzima wa Omurushaka na Kayanga shughuli zimesimama kabisa. Watu wametoka vijiji vya mbali kuja kuwaona wakombozi wao.
  Naenda kwenye maandamano, nikirudi nitaweka picha. Natumia pc ya rafiki yangu.
  well done CDM - peoples power!

  Nimeweka picha katika hizo attachments. Mtandao ukitulia nitaweka nyingine
   

  Attached Files:

 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  People's Power Hoyee!!!
   
 3. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  powaa tunkusubiri hiyo ni sababu tosha mafisadi kuhaha
   
 4. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri taarifa zaidi na picha mkuu
   
 5. s

  seniorita JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mambo badoooooo....CDM tuko pamoja
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Safi sana hadi kieleweki na wananchi wamjue mchawi wa maendeleo yao ni nani.
   
 7. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado mpaka mafisadi wajue maana ya nguvu ya umma! Ila usisahau picha mkuu!!
   
 8. M

  Mwasongwec Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 15, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  picha mkuu?
   
 9. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Mhadithiwe tu msiane kwa macho, haishangazi chama chetu kuchanganyikiwa, Jamani wazee tulizeni vichwa fanyeni vitu genuine hii aibu sitaki kuiona kwenye macho yangu dah... tofauti hapa hakuna unafiki... CHADEMA watu wanakuja wenyewe, sisi tunaitana weeeee na kutafutiana posho za kwenda kwenye mikutano kazi kwelikweli... Wazee tafuteni kiongozi ndani yenu tuokoe chama, siasa za majungu uzushi kejeli zimepitwa na wakati Generation X hawqaelewi hilo sijui kama mnasoma alama za nyakati....
   
 10. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kazi nzuri sana ya CHADEMA hivyo Mungu awasaidie sana
   
 11. A

  Anaruditena Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii hamasa itadumu hadi 2015? - matokeo ya muda mfupi wa hii hamasa ni lini? Wananchi wasije kuchoka CDM kama walivyokwisha choka CCM kwa maendeleo ya maisha yao.
   
 12. JAPHET MAKUNGU

  JAPHET MAKUNGU Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  THE "NO MERCY STRUGGLES" no retreat, forward ever backward never.
   
 13. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu haponi m2.CCM ilishakufa 2010,mazishi 2015.2nasubiri ndugu wa marehem ambao ni Cuf,nccr,udp na wengine,wakifika 2 mazishi
   
 14. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmmmh hii nguvu ya umma ndio inamfanya jamaa asikae nchini kila kukicha kwani anapatwa na stress za ajabu kila akiwaona hawa watu kwenye maandamano.
  chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa................vemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ngojeni waende Dodoma kujivua gamba labda wataeleweka kidogo, mpaka sasa ni hofu tupu
   
Loading...