Recent content by James7

  1. James7

    Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

    Sio kweli. Kimkakati (strategic) na kijeshi (military) huwezi kutumia hata nusu ya nyenzo, u aweza pigwa kama kenge mwizi siku za usoni.
  2. James7

    Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

    Wairan si Waarabu.
  3. James7

    Nyumba imejengwa juu ya kaburi la Abushiri bin Salim al Harith

    Mwaka 1914 ulikuwa mwanzo wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, na si ya Pili kama ulivyoandika. Pia nashauri uwe unaandika ulivyovipata, kisha maoni yako yawe mwishoni.
  4. James7

    Kisumu vs Mwanza

    Ukosefu wa mashoga. Sangara Sato
  5. James7

    Kisumu vs Mwanza

    Wanajitekenya kisha wanacheka 😂
  6. James7

    Toa list ya nyimbo zako kali za zamani "best of all times"

    PM Dawn - I'd Die Without U. Kali mno
  7. James7

    Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

    K-Vant ni noma. Inafuta kumbukumbu ile.
  8. James7

    Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Acha kutulisha matango-pori. Harry Truman, Richard Nixon, Lyndon Johnson, Jimmy Carter, George H.W. Bush na wengine wengi walitawala muhula mmoja tu.
Back
Top Bottom