Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

View attachment 1802838

Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi.

Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
Kwa tafasiri yako nyumba hii ilijengwa mwaka 1730.

kumbe watu walikuwa wanaishi duniani hapa hapa ...duh
 
Miamba inachelewa sana kupoa aisee. Itabidi machweo kama ni saa 12 mlale saa sita usiku kuepuka joto.

Kuna rafiki yangu aliwahi kuja kulala ghetto kwangu kwa vile chumba alichopanga mwezi huo jua lilikuwa linapiga ukutani kwake mchana mzima. Usiku anawasha feni lakini waapi akakimbia
Huo ukuta unafaa upigwe rangi nyeupe itasaidia kupunguza joto
 
Back
Top Bottom