mbona KUna watu Maskini Tu lakini Wana mademu WAkali tuTafuta pesa
Mwaka huu wahaya wajifiche wapi.Inaonekana kinachokuponza ni Dharau za Kihaya.
Usikute nyota yako ilishachezewa ili uonekana zwazwa tu kwa mademu.Nina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi".
Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku.
Nikiwa na hamu ya tendo mpaka "ninunue"
Nimekuwa natafuta mwanamke wa kuoa lakini kila msichana ninayemuapproch hunijibu "nina mtu wangu". Sasa najiuliza Mbona hawa wanawake kutwa wanalalamika hawaolewi? Wakati kila mtu ana mtu wake?
Huwa nashangaa ninavyosikia mademu wa kihaya na warangi kuwa warahisi sana.. Mbona mimi nawaona wagumu hasa wahaya kuna mmoja nilitongoza juzi kanichimba mkwara nisimfatefate.
Inaniuma sana wadau kuona "mazwazwa" wanamiliki pisi kali huko mitaani halafu mimi mzee wa kazi a.k.a ngoma ngumu nabaki kubambia mito usiku.
Je, hii ni kawaida au ni mimi tu niko "as a special case".
Naombeni ushauri wadau nifanye nini? Maana wanawake wazuri wote wameshachukuliwa na wajanja na wanawazalisha tu.
Au nijaribu Kenya na Rwanda?
Inaniuma sana!
Labda urudi BONGO huko Japana huwezi kuwala kimasiharaNinazo!
Na kama ni hivo wake za watu wasingeliwa.mwanamke akiwa na mtu wake ndio hangoki ??
then?
Umerogwa. Tafuta aliekuroga kama hajafariki.Nina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi".
Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku.
Nikiwa na hamu ya tendo mpaka "ninunue"
Nimekuwa natafuta mwanamke wa kuoa lakini kila msichana ninayemuapproch hunijibu "nina mtu wangu". Sasa najiuliza Mbona hawa wanawake kutwa wanalalamika hawaolewi? Wakati kila mtu ana mtu wake?
Huwa nashangaa ninavyosikia mademu wa kihaya na warangi kuwa warahisi sana.. Mbona mimi nawaona wagumu hasa wahaya kuna mmoja nilitongoza juzi kanichimba mkwara nisimfatefate.
Inaniuma sana wadau kuona "mazwazwa" wanamiliki pisi kali huko mitaani halafu mimi mzee wa kazi a.k.a ngoma ngumu nabaki kubambia mito usiku.
Je, hii ni kawaida au ni mimi tu niko "as a special case".
Naombeni ushauri wadau nifanye nini? Maana wanawake wazuri wote wameshachukuliwa na wajanja na wanawazalisha tu.
Au nijaribu Kenya na Rwanda?
Inaniuma sana!
T-shirt na jeans tu kaka.. kawaida sanaWhat's your typical style
Thanks man for your invaluable experience and advice!Hahahaaa kosa lako kubwa sana unalolifanya unakuwa very desperate around them, women can smell desperation from miles away.
Ever wondered why it is easier to add a fourth girlfriend than a first one? Because at that point you don't care about her response. That don't care attitude gets ladies turned on.
Mwambie manzi yeyote umtakaye mkutane place X for nyama choma and imply that you expect sex soon. In my years as a fisi I have concluded that women like men that other women want. It is 100 times easier to get a third sidechick than a first one.
In my experience, if a woman knows that you have other side chics, hamtasumbuana. She will join that list with minimal resistance because that's how their brains work.