Recent content by james marco

  1. james marco

    JamiiForums Tanzania Kwako Heri James, mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    Upo gizani sana sente using my infinix
  2. james marco

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupewa suspension tukutane hapa

    Mimi nikiwa advance wakati wa inspection ikakamatwa picha kwenye picha nilionekana nimeshika simu sasa descpline master alitaka hiyo simu niligoma sana nikaoigwa pendi week 3 ile narudi wakasema bila simu nirudi home nilikasirika nikawajibu labda nirudi home mwalimu nikawanunulie simu wakasema...
  3. james marco

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi yoyote wa Chuo cha Ushirika Moshi

    Weka ni yako ya simu hapa kuna wadogo zangu wengi sana pale
  4. james marco

    JamiiForums Tanzania Waziri Kamwelwe aagiza kukamatwa kwa anayeendesha mtandao wa “ATCL Aviation TV”

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama hakuna sheria tutamsumbua tu mpka wenzake wamuonee huruma
  5. james marco

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutumia fimbo kufundisha watoto

    Daaah hii kweli
  6. james marco

    JamiiForums Tanzania Msaada wasomi kuhusu Admission letter UDOM kwa Diploma

    Kuhusu admission letter msiogope nimeongea na waziri mkuu wa college frani alilifikisha hilo na kasema kulikuwa na changamoto kwenye system yao hivyo kasema soon zitakuwa tayari
  7. james marco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Africa kwa kuondoa umasikini

    Sio 2015 and above
  8. james marco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Africa kwa kuondoa umasikini

    2000=>2015
  9. james marco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhusu kutumia single cpu with mult monitor

    Jamani napenda kuwauliza kuhusu kutumia CPU moja kwenye monitors tofauti ili kila moja ili kila client aweze ku access services mbalimbali make hapa nipo hapa nataka kufungua internet cafe msaada jamani
  10. james marco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba anifikishi mwisho wa safari.

    Mchumba tena mnabanduana
  11. james marco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAOMBA msaada jinsi ya kubadili my profile name

    Boss mimi niliwahi kum pm 2017 mpk leo
  12. james marco

    JamiiForums Tanzania Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    Kwa UDOM hao kawaida sana sana tena wa college moja tu[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] hali ni mbaya
  13. james marco

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Yaaaani nyie TANESCO mnataka watumishi waanikie nguo hapo kwenye waya wenu ety issue ina mwaka Tangu iwekwe
  14. james marco

    JamiiForums Tanzania Mbeya City vs Dodoma City: Mpambano wa majiji yanayochipukia

    Dodoma ikifungwa UDOM na IRDP jiji linaenda likizo mpka November
  15. james marco

    JamiiForums Tanzania MIKOPO YA HESLB

    Hackers washafanya yao huko rita uhakiki
Back
Top Bottom