ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,030
- 49,686
Salamu nyingi memba wa JF,
Kumekuwa na mabishano ya muda sasa kati ya Mbeya na Dodoma kuhusu jiji gani liko vizuri kupita lenzie in terms of miundombinu, kipato, biashara na mishemishe.
Sasa leo tukate ubishi huu lengo likiwa ni pamoja na kufahamishana fursa za biashara na mipango ya kuiendeleza miji husika.
Kwa maoni yangu Mbeya ni kongwe lakini inapigwa vibaya sana na Dodoma kwenye mzunguko wa pesa na fursa nyinginezo.
Tuendelee kitiririka