SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 300
- 349
Habarini wana JF wenzangu,
Naomba kuuliza! Kwa hawa wadogo zetu waliomaliza form 6 ni wazi hata matokeo hayajatoka kwa maana hiyo hata vyeti vyao vya form six pia havijatoka. Sasa mtu akitaka kuomba mkopo anaambatanisha vyeti gani?
Msaada jamani niweze kumsaidia dogo na hizi applications.