Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,786
- 3,093
EINSTEIN112, Mimi yangu ndefu Sana lakini kufupisha ni kuwa nilipewa suspension o level nikiwa form four ya wiki mbili kisa nasoma tuition nje na shuleni na ilikua shule ya day...






nyie mlikua mafala saana yaani mnachoma msosi??
Tulipigwa suspension almost nusu ya shule baada ya mapipo kuchoma madarasa na ofisi ya master Mdabulo Sec. Ilikuwa tifu...mafatuma yakawekwa barabarani kuzuia mandata yasifike skuli kiurahisi...pipo zikaingia stoo kwa kuvunja...zikachukua sukari mchele mahindi maharage zikamwaga kwenye ground ya basketball ilikuwa katikati ya shule zikamiminia mafuta ya alizeti...zikachukua chepe zikachanganya huku pipo zinaita "letaa zegee hilo tujengee!!" ...we acha hakunaga kunji kama Wakorintho wa tatu Mdabulo secondary...katafute Majira la 1999
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa advance,Vurugu za Form six na five Suspension kwa muda usiojulikana, nikarudi shule kufanya necta, ugomvi wa watu wengi ila vinara tukabeba mizigo yao, mbaka hapo nikaelewa hakuna kitu kibaya kama MOB.





Uyole ya Kati, kilimo,nsalaga,makondeko,panshunguMimi nilinusulika kula spaa
Nikiwa shule moja inaitwa igawilo nilikua kiongozi wa miradi pia nilikua ndo nashughulikia maswala ya tv Yan Kama watu nataka kuangalia tv lazma nitafitwe, Jambo Hilo lilifanya niwe maarufu sana shuleni
To cut story... Kuna siku moja nilishawishi watu twende tukalione ziwa gosi halafu sikutoa taarifa kwa walimu kwamba tunaomba ruhusa ya kutoka nje ya shule..nakumbuka ilikua jmos nikakusanya wanafunzi kibao mida ya saa 11 asubuh na kuanza safar ya kuelekea huko milimani lilipo Hilo ziwa gosi kwa bahat mbaya mwalimu wa nidhamu alikuja mida ya saa 4 asubuhi ili achukue wanafunzi wa kwenda mashineni kusaga mahindi,. Akaita watu assembly ila alishangaa watu walokuja ni wachache sana kuja kuuliza akaambiwa wengine wameenda ziwa gosi. Ikabidi amuulize mwalimu wa zamu ni nan aliyetoa ruhusa ya wanafunzi kutoka jibu likawa hakuna
Tulivorud tu nikakutana na ujumbe j3 Kuna chamoto nitakiona
Ila ilivofika Hiyo j3 sikuguswa hata kidogo Ila tulipewa adhabu ya kulima matuta ya bustan na mm nikapewa kazi ya kuwasimamia watu niliowashawishi
Mpaka Leo bado sijajua kwanini sikusimamishwa shule Wala kutenguliwa uongozi wangu kwa ule ujinga nilioufanya
Ilikuwa mwaka gan?WAJOMBA NIMECHEKA YAANI MMEAFANYA VIBWEKA VYA KUTOSHA SKULI YA KWANGU NI KWAMBA KUNA DEMU NILIKUWA NAFKUZIA KUMBE ANALIWA NA MWL WA NIDHAM NILIMUWINDA TICHA HADI NIKAWAFUMANIA LAIVU, NDANI YA BONGE DINNING HALL NILIKUWA NAPIGA MSULI PEKE YANGU WATU WALIKUWA WANALIOGOPA JENGO WANASEMA USIKU SIJUI KUNA MAJINI SASA HIYO SIKU KAMA KAWAIDA YANGU NAPIGA MSULI UMEME UKASEPA NIKABAKI HUMO NIKIUSUBIRI YULE TICHA AKAJA NA YULE DEMU WANAKOKOTANA HADI WAKAKWAMIA KWENYE MEZA NILIYOKUA NASOMEA BILA WAO KUGUNDUA KAMA NIPO PALE...
Rip damme ilikuw mwaka gani na wapi?Form three hiyo na wanangu tumetoroka shule, njian tunakutana na manzi akaomba angalie kitabu nlichoshika, nlivyompa akasema yeye ni mwalimu wa field na kwann tunatoroka turudi wote shule huku yy akitangulia...oh tukaona hili soo bahat nzur wakati tunajishaur akatokea mbabe wa shule(damme..sijawahi kuona mtu tukutu kama huyu) tukamwambia kuna jero hapa katuchukulie kitabu kwa yule manzi kule anayetembea aisee kufumba na kufumbua alienda kwa speed ya umeme kampa kofi ajakaa sawa tama then akachukua kitabu (note: na yy ajui kama yule ni ticha) akaturudshia tukaacha nyoya.
Sasa mziki jtatu kumbe yule madame alifungua kile kitabu akasoma jina njian...tunashangaa assemble naitwa jina kwa kesi ya kumpiga mwalimu nitaje mwenzangu na madame anasema tulikua watano (kamuinclude damme) ah mm nkataja wanne tu nkasema nikitaja damme ataniua(na hata assemble akuepo) aisee tulikula stick kama mvua (si unajua walimu wa kiume tena kwa misifa mbele ya msala wa demu) baada ya hapo tukala suspension ya wiki nne (ilikua kma kumpiga teke chura coz tulikua wazee wa mchikidown).....nikitulia nataleta kisa cha suspension yangu ya kwanza shule ya msingi....RIP Damme nlisikia alifariki kwa wizi wa bodaboda.
Sent using Jamii Forums mobile app

huyu baba alikuwa na umri mkubwa kidogo.




nilitamani ardhi ipasuke, nikamfuata kuonana na bro swali la kwanza unafanya nini huku na uko katikati ya mitihani nikazuga nilimsindikiza huyu mwenzangu hospitali.Ngoja nisimulie na mimi nilivyonusurika kupewa suspension.
Kuna wakaka fulani wawili nilikuwa na mazoea nao mmoja wapo alikuwa kaka mkuu, hawa watu walikuwa ndugu japo sijui undugu wao ulikuwaje ila walikuwa na ubini mmoja (ubini ni surname kwa wasiojua).
Baadae nikagundua kuwa yule kaka mkuu demu wake tunakaa rum moja, basi tukawa wote wanne tumezoeana hivyo...kaka mkuu namuita baba, demu wake mama halafu yule kaka mwingine namuita bamdogohuyu baba alikuwa na umri mkubwa kidogo.
Basi bwana tukiwa kidato cha nne bamdogo alipata ajali uwanjani akiwa anacheza mpira, alivunjika mguu kabisa ikabidi akae nyumbani aendelee kujiuguza sisi tukawa tunampelekea notes, tunamfundisha yale tuliyofundishwa, tukifanya test tunampelekea...wakati mwingine tunaomba ruhusa wakati mwingine tunatoroka (sikuwahi kutoroka kabla ya hapo) basi nikajifunza kutoroka na bahati mbaya nikanogewa nikawa siogopi tena.
Siku moja yule kaka (baba) akaniambia twende kwa bamdogo tukamsalimie basi mida kama ya saa kumi jioni sisi haoo town, tukafika kule tukapiga stori mpaka saa mbili tukaanza kurudi shule (shule iko nje kabisa ya mji). Tukatembea mdogo mdogo, tunakaribia shule tukakutana na kundi la watu wametoroka wanaenda disco ilikuwa kama saa nne usiku. Basi tukapungiana kila mtu akaendelea na safari yake. Eeh bwana eeh wale walioenda disco si wakakamatwa bwana, wakaitwa wote staff wakala fimbo za kutosha, mimi sina hili wala lile yule mwenzangu tuliyekuwa nae akaja kuniita akaniambia unasikia purukushani hizo staff ni wale jamaa tuliokutana nao ile jana usiku hivi wanabanwa huko ndani tuombe tu wasiseme kuwa walikutana na sisi ule usiku, nilichanganyikiwa nilishikwa na tumbo la kuhara muda huo huo, nikapiga picha nitakavyorudishwa nyumbani kumchukua mzazi eti nilikuwa nje ya shule saa nne za usiku aisee najikuta natokwa na machozi![]()
Nilisali sala zote siku ile ila nashukuru wale wakaka hata hawakututaja na waliishia kupewa zawadi ya kufyeka majani.
Ila wala sikukoma niliendelea kutoroka kama kawa, nakumbuka hadi kipindi nipo katikati ya mitihani nilitoroka mimi na mwenzangu anaitwa Ester kufika mjini tunavuka barabara mara paap mchungaji wa kule nyumbani kijijini huyu hapa, akawa ameniona akasema tena na kaka yako nipo nae twende hukunilitamani ardhi ipasuke, nikamfuata kuonana na bro swali la kwanza unafanya nini huku na uko katikati ya mitihani nikazuga nilimsindikiza huyu mwenzangu hospitali.
Sent using Jamii Forums mobile app



changamoto za shule hadi hao walimu wa nidhamu walipitia wakati na wao wakiwa wanafunzi
sikuhiyo General assembly bwana wakawekwa mbele pale wazazi feki wakajiliza wakaomba misamaha ikafika muda wa kucharaza fimbo watoto watukutu zainab akacharazwa stiki za kutosha sasa alivyokua anatoka pale mbele alitingisha tako kwa kusudi , kama unavyojua wanafunzi mnakua kama vichaa wacha watu wapige mbinja watu "woyoooooooooooooooo"
Shule bwana .. wapi mamaa zainab mchina mutu ya wowowo nene!! Kiss the ground... Hahaaaaa unakumbuka?Enzi za Lyimo sidhani kama Imewahi tolewa suspension, Lyimo mlikua mnamalizana kwa fimbo kadhaa then anakuachia usepe zako. Now adays naskia kuna new headmaster myb mishe za suspension ndio zianze.
Nimepiga MJSS form 1 hadi form 6 so naijua school nje ndani.
Distributed Denial-of-Service


Yukwapi saivi aiseemi sijawahi kufanya utukutu huo wa kupewa suspension aisee..
ila shule niliyosoma katikati ya jiji nilijionea suspension za kutosha, wanafunzi walijipindia wengine unawakuta mavideo queen, wengine waje wamelewa asubuhi, miaka ya 2009 ziliingiaga dawa za kichina za kuongeza makalio ,kulikuaga kuna kundi la Form4 wa shule wakawa wanazitumia bwana, kinara wa kundi alikua anaitwa "ZAINABU MCHINA" alikua na muwowo balaa hilo kundi wakitembea mtageuka tu,...



