Dah naona Man utd fainali hiyoo wanaiona maana lazima atamtoa Porto then anakutana na mshindi kati ya ARSENAL NA VILLAREAL therefore mashetani fainali hiyoooo 2kamsubiri Liverpool 2lipe kisasi cha zile Nne.Man u oyeeeeeeeee
Jamani wana JF,naombeni ushauri wenu,nilikuwa nina mpenzi wangu ambaye nilikuwa nampenda sana 2mekaa more than 3 years kwenye relation ye2 ikatokea yeye akahamia dsm kikazi baada ya hapo ndo matatizo yalipoanza akaanza kuniletea visa na dharau mara ukipiga cmu hapokei,nikafanya uchunguzi wangu...
Jamani mimi naona uwezo wa Maximo umefika kikomo hana jipya tena ni wakt mzuri wa kutafuta kocha mwingine ambaye atakuja na mbinu mpya,ni ukweli usiopingika kwamba Maximo anaigawa stars sana,kuna baadhi ya wachezaji anakumbatia ilihali uwezo wao mdogo compare to others players ambao maximo...
Ni kweli kabisa mkuu Ibrah,sababu ya kucheza chini ya kiwango inasadikika eti ni kuzuiwa kuvuta bangi nadhan itawaaffect sana hata huko Ivory coast maana naambiwa hawawezi kucheza bila kupuliza wakiongozwa na kijana Haruna Moshi Boban.
Nampongeza sana huyo mkuu wa wilaya waache watandikwe....si majuzi 2 wametoka kugoma hapa oooh hawajalipwa pesa zao,wakalipwa, sasa kwanini wasitekeleze wajibu wao.Hongera sana mkuu wa wilaya endelea hivyohivyo watandike tena ikibidi mbele ya wanafunzi!!!!!!!
RIP Mrs Ndolanga.......Poleni sana familia ya marehemu Mungu awatie nguvu ktk kipindi hichi kigumu.Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..Amen.
Sio TIA 2 mkuu!Nami ni mhitimu katika chuo cha uhasibu arusha you cant believe mpaka leo hatuna transcript wala graduation hatujafanyiwa 2naambiwa bodi ya chuo haina mwenyekiti mpaka JK amchague ndo wata2pa hizo transcripts.jamani waziri wa fedha ebu angalia hili maana hivi vyuo viko chini ya...
pole sana mkuu,that not the end of the world,just jaribu kumsahau na usali sana i know how love pain but jikaze,haikupangwa awe wako Mungu atakupa the right person at the right time just keep pray,sasa nakushauri upambane na elimu kwanza.POLE SANA MKUU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.