Uozo chuo cha uhasibu tia

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
MIMI nilikuwa wanafunzi katika chuo cha uhasibu nimemeliza mwaka mmoja uliopita,chuo hiki nichaajabu kwani academic certificate huchua miaka 2,kuipata vyuo vingine ni baada ya graduatuion tu hupewa vyeti vyao,tunashangaa TIA tunasikia vyeti vyao hutenengenezwa south africa,transcript yenyewe kuipata kwa mbinde.tunaomba waziri wa fedha Mkulo akiangalie chuo hiki,naukiritimba huu umelelewa na principal aliyestaafu ndugu Buchanagandi na watu wake waliokaa chuoni hapo toka mwaka 1980,hawana mawazo mapya na tunaomba waziri amteue principal ambaye ni makini awe na PHD asiwe mmojawapo wa wazee wa hapo TIA kama MBAGO,HANZURUNI GORA,BOMA ETC
 
Naona kijana unaugomvi binafsi na hao wazee!

Nionacho mimi si PHD inahitajika kuboresha utendaji hapo bali ni dhamira ya uchapa kazi na committment za watendaji hao! huwezi kuwapata watu wa aina hii kama vitu fulanifulani havipo kama, reward policy, clear promotion policy etc! Taasisi nyingi sana sa serikali yetu zinamatatizo ya aina hiyo!
 
Duuuu hiyo kali japo inaonekena umeongea kwa jazba mno. Vyeti vinatengenezwa South Africa? Hiyo kali aiseeeeee! Vina nakshiwa na ngozi za wanyama wa South au?
 
Sio TIA 2 mkuu!Nami ni mhitimu katika chuo cha uhasibu arusha you cant believe mpaka leo hatuna transcript wala graduation hatujafanyiwa 2naambiwa bodi ya chuo haina mwenyekiti mpaka JK amchague ndo wata2pa hizo transcripts.jamani waziri wa fedha ebu angalia hili maana hivi vyuo viko chini ya wizara ya Fedha.
 
hiyo ya TIA naikubali huyo Mbago (kwa waliosoma pale) ni msumbufu sana kwenye kutoa hizo transcript worse enough zinalipiwa. Anahudumia watu watatu kwa siku baada ya kuwasotesha kwenye foleni siku nzima.
 
Back
Top Bottom