Wako wapi SUMATRA wa vinywaji?

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
katika soko la vinywaji hapa inchini kumekuwepo na utaratibu wa wazalishaji kutangaza bei za rejareja ambazo hupendekezwa kutumiwa na wauzaji wa mwisho wa bidhaa hizo. Lakini imekuwa ni kitu cha kawaida kuona kuwa wauzaji wa rejareja huwa hawazingatii bei zinazopendekezwa na wazalishaji. Angalia mifano michache:
1: Bei za bia
2: Bei za soda
3: Bei za maji ya kunywa
n.k.

Je hawa wahusika wanaotakiwa kuhakikisha kuwa wauzaji wa rejareja wanazingatia bei zinazopendekezwa na wazalishaji wako wapi hadi haya yanakuwa mazoea. Kwani ugumu wa maisha unasababishwa na ongezeko la nauli tu?
 
"Recommended Price". Hakuna sheria ya kuzuia kuuza juu au chini ya hapo.
 
Back
Top Bottom