Nalala saa nne usiku kuamka kumi kamili kila siku,najiuliza nitakwepaje hayo matatizo maana hata muda wa ku perform kwa sauti ya kihaya:smile::busu unakuwa shida mpaka viungo vingine vimesahau vina kazi gani mwilini
Dear wana jamii Forum, mtoto wangu atakuwa miaka 5 na nusu Jan, nilitamani awe darasa la kwanza Jan lakini kuna vitu bado hajavifahamu kama handwriting sio nzuri japo anaandika na kusoma bado anaweza kusoma 3words letter, naomba ushauri nimpeleke darasa la kwanza hivyo hivyo atajua mbele kwa...
Una hukakika wanapata kila kitu wanaume wengi hawajui responsibilities zao japo sikatai kuna wanawake wenye tamaa ila asilimia ni ndogo kulinganisha na wanaume wanaopiga kazi za nje.
Mi huwa napita sana Kinyerezi mwisho au Goba na huwa naota lift kwa wanafuzi sana tu, lakini kabla sijatoa lifti nahakikisha kila kitu nimeweka vizuri na kama siku hiyo gari yangu iko na vitu vingi sitoi lift.Usafiri ni wa shida sana jamani tusaidiane na Mungua atatulinda. Naumia sana especially...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.