Roofing materials: Aina mbalimbali, faida na hasara zake

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
Wadau habari za ujenzi wa taifa.

Naombeni wataalamu wa mambo ya roofing na material yanayohusiana na roofing mnisaidie mambo yafuatayo;

1. Aina mbalimbali za roofing material, suitability na gharama zake
2. Faida na hasara ya kila aina ya paa e.g. bati za kawaida, bati za migongo mipana (aina tofauti tofauti), vigae (aina tofauti tofauti)

3. uimara wake pamoja na life span

4. Je kuna tofauti kati ya vigae vya Tanzania na vya kutoka nje e.g. South Africa, New Zealand etc

Nimecheki website ya Nabaki Africa naona hakuna details zozote za maana, ndo maana nimekuja hapa Home of Great Thinkers.
 
uimara si sana kwani hata ati la geji 30 linafikisha miaka 30 bado linadunda tu

zaidi wanachoangalia watu ni show na ile sense of 'na mimi ninazo'
 
Thatch roof

Slate roof

asbestos sheets

ACP (Aluminium Composite Panel) mono pitch roof ..... etc
 
Go for mangalore from India they're da best 100yrs guarantee,zile nuymba zote za Magufuli (oysterbay),zilezekwa na vigae hivyo since then.Ule ni udongo uliokwa, ni vyepesi mnoo, sio yale mabati yanayomwagiwa uji kwa juu,au yale mavigae ya Mbezi Tile ambayo ni Cement na Mchanga.
 
wapi tunapata hiyo? tuelekeze please, wengi tunataka kujenga kwa hiyo.
 
Can your advice base on Price also?
Be cost oriented please!!
 
Thatch roof

Slate roof

asbestos sheets

ACP (Aluminium Composite Panel) mono pitch roof ..... etc

Mkuu hapo umeniacha kabisa, naomba ufafanue basi hayo uliyoyaeleza ukizingatia maswali ya msingi hapo juu.
 
uimara si sana kwani hata ati la geji 30 linafikisha miaka 30 bado linadunda tu

zaidi wanachoangalia watu ni show na ile sense of 'na mimi ninazo'

mkuu miaka 30 kwa paa sio mingi sana, nasikia kuna paa zinadunda hata kwa miaka 50 na zaidi.
 
Go for mangalore from India they're da best 100yrs guarantee,zile nuymba zote za Magufuli (oysterbay),zilezekwa na vigae hivyo since then.Ule ni udongo uliokwa, ni vyepesi mnoo, sio yale mabati yanayomwagiwa uji kwa juu,au yale mavigae ya Mbezi Tile ambayo ni Cement na Mchanga.

Mkuu hapa Dar kuna distributors wa hizo paa?
 
Jaribu Al Hilal pale k'koo {Agrrey na Sikuuu},au Citizen liko Morogoro Rd before Total Filling Station.
 
thank you kwa taarifa...mwenye eneo lingine wanapouza hivyo vigae vya india, tafadhali tuambieni.
 
Mkuu receive my honest and unbiased advice! Kama kauwezo cha fedha kapo nenda Nabaki Afrika kuna roof tiles(vigae) toka New Zealand. Wanaziita decra tiles. Unapewa guarantee ya 50 years against rust na 25 years against colour fading. Hii written guarantee from the manufacturer, New Zealand. Zipo tiles za aina tofauti kuna nyingine zina coat ya sand wanaziita sand blosted kama sikosei na nyingine hazina iyo coat wanaziita smooth decra tiles.
Kwa upande wa bei zile za sand coat zina bei zaidi kidogo ya hizi smooth. Mwaka 2011 nilinunua hizi smooth kigae kimoja kilikuwa Tsh. 13,750 wakati chenye sand kilikuwa 16,350. Vilevile ukiwa na roof plan (ramani) ya nyumba yako wanaweza kukusaidia kuestimate idadi ya vigae. Pia utuziwa na accessories zake kama kofia, misumari na gundi yake. Kifupi ni kuwa naiona thamani ya hela niliyoitoa maana roof lina ubora na lina pendeza!
 
Thanks so much mkuu. Umetupa practical experience nzuri sana. Je kuna tofauti kati ya kigae cha South na New Zealand katika ubora na bei?
 
Kigae kimoja kina ukubwa gani? rephrasing, kwa nyumba ya sq. m 120 simple roof approximately ni vigae vingapi?
 
Naomba mniambie ubora wa haya mabati ya migongo mipana,sababu nilikuwa na mpango wa kununua hayo kwa ajili ya kibanda changu..
 
Kigae kimoja kina ukubwa gani? rephrasing, kwa nyumba ya sq. m 120 simple roof approximately ni vigae vingapi?

Mkuu kigae kimoja kina urefu wa 1320mm (1.32m) na upana wa 370mm (0.37m). Kwa suala la kuestimate itakuwa ngumu kwangu maana sio mjuzi wa archtecture ila kwa experience nyumba yangu ina sq. m 292 nilinunua vigae around 650. Ila hapo nilimodify kidogo roof nikaongeza pitch hesabu ikaongezeka kidogo. Kwa roof plan niliyokuwa nayo walinipigia hesabu ya vigae 594. Hope sasa unaweza kuadjust mahesabu haya kwa kipimo cha nyumba yako. Ila pia ujue idadi inategemea aina ua roof.
 
Thanks so much mkuu. Umetupa practical experience nzuri sana. Je kuna tofauti kati ya kigae cha South na New Zealand katika ubora na bei?

Mkuu sijayatumia ya south labda kama kuna mdau ameyatumia atupe experience ya ubora. Kwa appearance yanafanana kabisa na ya New Zealand. Kuna mshkaji wangu alinunua mwaka jana anadai alinunua tsh 18,000 per tile ila sikumuuliza alinunua wapi.
 
Mkuu kigae kimoja kina urefu wa 1320mm (1.32m) na upana wa 370mm (0.37m). Kwa suala la kuestimate itakuwa ngumu kwangu maana sio mjuzi wa archtecture ila kwa experience nyumba yangu ina sq. m 292 nilinunua vigae around 650. Ila hapo nilimodify kidogo roof nikaongeza pitch hesabu ikaongezeka kidogo. Kwa roof plan niliyokuwa nayo walinipigia hesabu ya vigae 594. Hope sasa unaweza kuadjust mahesabu haya kwa kipimo cha nyumba yako. Ila pia ujue idadi inategemea aina ua roof.

Asante mkuu...
 
Hivi ni kweli vigae vinaweza kuleta cancer

Mmh hii ni kweli wakuu? Wajuzi wa haya mambo tunaomba ufafanuzi. Ila from layman point of view kama vigae vina leta cancer basi hata mabati ya kawaida yatakuwa yanaleta cancer kwa sababu hivi vigae vya New Zealand au South Africa ama hata vya Hando pale Tegeta vyote in principal ni mabati tu yaliyonakshiwa.

Weledi wa eneo hili mnaweza kutujuza zaidi!
 
Back
Top Bottom