Nyumba ya kupanga inahitajika Kimara Temboni - Mbezi

Jalala

Member
Apr 15, 2010
47
18
Natafuta nyumba nzuri ya kupanga maeneo ya Kimara Temboni mpaka Mbezi isiwe mbali na barabara iwe na vyumba 3 vya kulala na Car Parking, umeme na maji, mtaa mzuri kwa malezi ya watoto na security ni muhimu, nina uwezo wa kulipa miezi sita mpaka mwaka
 
Ipo moja but ni maeneo ya vituka lumo, almost 15km from city centre and ni lami tupu mpaka getini,,,
Ina umeme, maji, fenced na parking kubwa, 3 bedrums kimoja master,,, bei ni lak 250.
 
Morogoro road Kimara - Mbezi
, thanks
Ipo moja but ni maeneo ya vituka lumo, almost 15km from city centre and ni lami tupu mpaka getini,,,
Ina umeme, maji, fenced na parking kubwa, 3 bedrums kimoja master,,, bei ni lak 250.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom