Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 332
we wajua??Daaa kumbe dogo hajui kupiga mbizi
we wajua??Daaa kumbe dogo hajui kupiga mbizi
hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKuoga hajui, je ataweza kuogelea?...
Ushamba tu. Na asijegeuka wale wanaoenda haja ndogo kwenye swimming pool tu, maana ndo keshabaki na underwear kaa yupo chooni kwake