Athari za kutolala kwa wakati

Athari za kutolala kwa wakati

Basi Mimi nimeshaathirika vya kutosha maana sijalala masaa hayo kwa miaka mingi sasa...
 
Nalala saa nne usiku kuamka kumi kamili kila siku,najiuliza nitakwepaje hayo matatizo maana hata muda wa ku perform kwa sauti ya kihaya:smile::busu unakuwa shida mpaka viungo vingine vimesahau vina kazi gani mwilini
 
Ripoti hii itawafaa hawa wapiga debe kina Remote na Nkwesa Makambo.
Manake hawa jamaa wanaanza kazi ya kupiga debe toka saa kumi alfajiri mpaka saa sita usiku.!
Halafu msosi wenyewe kwa mamantilie pale shule ya uhuru!

Wakitoka hapo ni kunywa mapuya na kangara ya bei poa!

Yaani hawa wakimaliza miaka miwili wako hai. Basi ujue wana bahati sana.

Ahsante sana Muhammadan kahtaan, tunakesha kuokoa nafsi za wliokuwa brainwashed kiasi kwamba wanasafairi umbali mrefu kufukuzia utakatifu wa kubusu KIUNGO CHA UZAZI. Na wameaminishwa kwamba kilipowekwa sanamu ya hicho kiungo ndipo utakatifu ulipo,hivyo husigina ardhi kutwa mara tano ili kuonyesha heshima kwa hicho kiungo.
Itakuwa kukujulisha kwamba tunajua Hijja maana yake kwenda kubusu sanamu ya sehemu ya siri ya Mwanamke, sijui mtume wenu aliifananisha na ya nani hadi akaamua iwe ndiyo icon ya patakatifu ?

shapeimage_1.png
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha nyie raia wakorofi sana daah..ila mjadala hapa ni athari za kuto lala kwa wakati hayo mambo mengine hapa haya husiki.
 
Last edited by a moderator:
Ninachofahamu kulala kunategena na umri kwa mfano mtoto huhitaji kulala muda mrefu zaidi kuliko mtu mzima, hivyo kadiri umri unavyozidi kwenda ndivyo na masaa ya kulala yapozidi kupungua.
 
Ahsante sana Muhammadan kahtaan, tunakesha kuokoa nafsi za wliokuwa brainwashed kiasi kwamba wanasafairi umbali mrefu kufukuzia utakatifu wa kubusu KIUNGO CHA UZAZI.

We mpiga debe ulieathirika kichwa kwa KUTOKULALA KWA WAKATI!

Nibipu nikupe hela ya kula! Au uje hapa Dukani kwa bwana mdogo akuajiri kukatakata mabox!

Utakuja kufa siku si zako!
Unapiga debe kutoka saa kumi alfajiri mpaka saa sita usiku.
Ukitoka hapo unaenda kunywa gongo ya CHADEMA!

Mtoto una umri wa miaka 17 lkn uso ka bi kidude!

Nyie ndio mkiishiwa nguvu mnageuka wachawi!
 
Last edited by a moderator:
Kama huna hela utalala sana ila kama watafuta hela usingizi hupati
 
Back
Top Bottom