Recent content by Jaiter

  1. Jaiter

    Ado Ado Aste Aste....Simba

    Kuna timu inatolewa kwenye michuano unasema Yes haikuwa riziki, Kuna timu inafuzu unasema, Mmmm!! .... Tuwe objective, SIMBA inahitaji mabadiliko upesi....
  2. Jaiter

    Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Inategemea unanufaikaje...
  3. Jaiter

    Tanzania yaidhinisha rasmi Sheria kuruhusu wageni kutoka wa nje kumiliki nyumba na ardhi

    "... Inauma sana , kugawa malalio yetu kama zawadi mjomba..." Yule Mrisho Mpoto wa zamani, kwenye wimbo wa Salaam zangu kwako.
  4. Jaiter

    Maharage Chande ni kioo chetu

    Unataka kutuaminisha kuwa, tukipata teuzi tusitumikie watu kwa manufaa ya Taifa Bali yetu binafsi....
  5. Jaiter

    Piga kelele uwanja uliokusudiwa Dodoma ujengwe

    Simba na Yanga ngonjera zimefika kilometa ngapi? Maana fursa kama hizi zinawapita... Naam Kuna timu zitapiga Kambi Azam Complex
  6. Jaiter

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Wamejivika uwezo, uwezo wa Rabuka, Hawataki mafunzo, kuwa watashuka, Shida uzipatazo, wao wanaufaika, Tafuta kujikwamua, hakuna anayejali.
  7. Jaiter

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Apumzike kwa amani... Kazi aliimudu vema
  8. Jaiter

    Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Utabiri wa nyota Tano [emoji294][emoji294][emoji294][emoji294][emoji294] ila Mhe. Upo makao makuu nini?
  9. Jaiter

    Vodacom wawajibishwe kukosekana huduma zao kuanzia saa 4:30 hadi saa 8:00 usiku, siku ya jana, Kahama

    Mteja ni Kama abiria, thamani yako kabla hujapanda basi... Ukipanda ukalipa nauli, ulie au ucheke juu yako...
  10. Jaiter

    Rais Samia na Ronald Reagan ni same stereo types?

    Uzuri wanaoongozwa wanaoongozwa kweli
  11. Jaiter

    Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

    Du...[emoji87][emoji87][emoji87]
  12. Jaiter

    Kwanini Mo Anapata Hasara Simba, Yanga wanapata Faida?

    Hakuna mfanyabiashara anayepata hasara Mara zote akaendelea na biashara, Kama yupo basi hataki wewe ufanye hiyo biashara...
Back
Top Bottom