Recent content by Jackpiano

  1. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Land Rover Discovery

    Uwe na pesa isiyo ya mawazo
  2. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Kitoto cha mbwa miezi mitatu

    Uho ugonjwa na ujua ulishawahi ku ua mbwa wangu sikumbuki unaitwaje lakini wahi haraka kumpa huduma la sivyo utamkosa uyo
  3. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

    Ni kweli kabisa kuna jamaa muhaya kaona nimenunua simu kali yani paka sasahivi atulii anataka anizidi ila kipato chake akiruhusu ila wahaya noma
  4. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Wakuu, naomba ushauri kuhusu account nzuri ya kuweka saving 💰

    Wewe mwenyewe una pigo za mdada kwanza iyo Facebook sijui inafananaje yani kama uwezi vunga sio unajibu upuuzi yani u Facebook wako umeuleta Jf
  5. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Wakuu, naomba ushauri kuhusu account nzuri ya kuweka saving 💰

    Wakuu, naomba ushauri kuhusu account nzuri ya kuweka saving 💰 Kwa sasa nina account ya NMB ambayo ndiyo natumia kwa mshahara na matumizi ya kawaida. Nataka kufungua account nyingine maalum kwa ajili ya saving, ili hela ya matumizi isitoke na hela ya saving iwe separate. Nimebaki kwenye options...
  6. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Uhakika ukiendelea ina kua foolish to the fullest level
  7. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

    Mtaani kwangu nime mshawishi rafiki angu kajiunga katumia miezi kadhaa kaacha aitumiii tena sahv yani jamiforums ina hitaji watu wanaopenda mijadala mbalimbali sio wazee wa trends tiktok nk
  8. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Imetimia miaka 20 tangu tukio la kuabisha linitokee hadi nikahama Kijiji

    Dah nimecheka kabla ujuaji aufahi
  9. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Msaada: Rav4 kilitime kuzima ghafla

    Jalibu kupima compression
  10. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Humu barabarani shackman na Faw ndio wanatawalaza benzi mojamoja sana mchina katisha

    Shacman x3000iyo ni truck ilio kuja kubadili soko pia ina umeme mwingi iyo truck ni balaa izo shacman x zinafukuzana na scania
  11. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Subaru SJ5 kutetemeka

    Jalibu kuangalia Wheel balancing ,wheel Alinegment na rims wenda imepinda
  12. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Hii mada imekaa kiupuuzi tu
  13. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hivi Upweke umri wake mwisho lini ?

    Uyo mtu sahihi anafananaje?
  14. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Sina ujasiri wa kuacha kazi

    Nimependa ukitambua thamani ya mumeo
  15. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Mzazi unamlipia Binti yako ada ya chuo unadhani anasoma kumbe anafanya umalaya.

    Mpe majukumu ya kusimamia iwapo wew aupo utasikia skendo kibao yani mambo kwa ushahid mtaani tuna view
Back
Top Bottom