Kumbe yasemwayo kuhusu wahaya ni ukweli?

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
1,157
Reaction score
2,191
Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.

Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi.

Yaani mtu kutwa nzima ni kujisifu tu mara hili mara lile..... Aisee wahaya nimewavulia kofia🙌🙌
 
Nimesoma nao chuo, nimefanya nao kazi na nimeishi nao mtaani, aise hawa watu ni kama wanaambukizana tabia.

Wanapenda kujipendekeza kwa mabosi maofisini, kuchongeana mara huyu kafanya hivi mara yule kafanya vile ili mradi tu yeye aonekane ndiye bora.

Ukifanya nao kazi eneo moja utaona kazi chungu maana majungu yao sio ya kiwango cha kawaida mazee.
 
Mimi nafanya nao kazi kitengo kimoja, yaani kutwa wanashinda ofisi za bosi kupiga umbea tu.

Kuna Mmoja wakati nimeripoti kazini aliniambia nisiwe na mazoea na bosi Fulani sababu huyo bosi ana roho mbaya, ila ajabu yeye ndiye chawa wake na kutwa wapo nae.
 
Nilikuwa nasikia watu wanasema kabila la wahaya watu wake Huwa na sifa au misifa, sikuwahi ku experience hiyo tabia Yao ila Sasa nimeshuhudia.

Aisee hawa jamaa ni hatari, wanasifa balaa, kujikweza, kujisifia, kupenda competition hasa kazini, na kujipendekeza Kwa viongozi.

Yaani mtu kutwa nzima ni kujisifu tu mara hili mara lile..... Aisee wahaya nimewavulia kofia🙌🙌
Bora ajisifu na awe na Hicho anachojifu Mwingine ni kapuku kabisa
 
Back
Top Bottom