Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
Wakuu heshima yenu, nina changamoto kidogo SJ5 ikifika spidi 95 and above mpaka 105 huonyesha dalili ya kutetemea kidogo hasa katika usukani zaidi ya hapo au chini ya spidi hiyo huwa ipo sawa kabisa bila ya shida yoyote.
Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya, nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari.
AHSANTENI
Naomba kujua tatizo linaweza kuwa nini na nini napaswa kufanya, nipo remote area ambapo sina access ya mafundi uhakika wa gari.
AHSANTENI