Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

Nikiwa natumia Jf huwa najificha mpaka mwenyewe nakuwa sijui kama ni JF how could I know kuhusiana na majirani na watu naopishana nao mtaani.

Wewe nakuchukulia kama kija wa sekondari ambaye bado unaishi kwa kutegemea makundi makundi ya marafiki hivyo kuulizana mambo kama haya ni jambo la kawaida kabisa.

Jaribu kuandika matured threads sio kama hizi za kitoto.
 
HUU MTANDAO BWANA KUNA MAWILI, 1.GREAT THINKER2.MHUNI AU MJANJA MJANJA SABABU ALIEZUBAA HAWEZ KUFOKONYOA KUJUA KUNA MTANDAO WA NAMNA HII, HALAFU WENGI HAWAKO INTERESTED SABABU HATA WAKIINGIA HAWAONI MBWEMBWE KAMA ZA FB NA INSTA KV MAPICHA PICHA+MAVIDEOS.HALAFU KWA WATUMIAJI KILA UKIMUULIZA ANASEMA HAUJUI,JAMAA YANGU MMOJA NILIJIFANYA KUMDODOSA KAMA ANATUMIA JF AKASEMA HAPANA ILA KAIFOLLOW PAGE YA JF FESIBUKU, SIKU MOJA NIKAAZIMA SIMU YAKE KWA KUWA INAUWEZO MKUBWA NIFANYE MAMBO FULANI AKAJISAHAU AKANIPA NIKAKUTA ANA APP YA JF NA PASSWD IMEJISEVU KO NIKAONA JINA LAKE.NADHANI HATA MEMBER WENGI HAWATAKI MICHORO JAPO HII INAICHELEWESHA JF KUPATA WATUMIAJ WENGI ZAIDI KWA KUWA KILA MEMBER ANAJI HIDE HIVYO HATOI INFO KWA WATU WENGINE.
 
Back
Top Bottom