Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 560
- 756
Wakuu, naomba ushauri kuhusu account nzuri ya kuweka saving 💰
Kwa sasa nina account ya NMB ambayo ndiyo natumia kwa mshahara na matumizi ya kawaida. Nataka kufungua account nyingine maalum kwa ajili ya saving, ili hela ya matumizi isitoke na hela ya saving iwe separate.
Nimebaki kwenye options mbili:
CRDB Savings
NBC Malengo
Kwa wale wenye experience na hizi account, ipi mnaona inafaa zaidi kwa mtu anayelenga kuweka pesa kila mwezi na kuiacha ikue? Ninachozingatia zaidi ni: Makato ya account
Interest/return
Urahisi wa kuweka pesa
Masharti ya kutoa pesa
App/online banking
Kwa ujumla, ipi ina value nzuri kwa saving ya muda mrefu?
CRDB vs NBC Malengo — mngechagua ipi na kwa nini?
Karibuni na uzoefu wenu, hasa wale wanaotumia moja kati ya hizi. 🙏