Recent content by Jaber Job

  1. Jaber Job

    Barabara ya Makongo juu - Goba - Mbezi Mwisho yatelekezwa

    hayo magari ya halmashaur ndo yanayoongoza kwa kupita hii barabara. Hujakosea kabisa....na mengine yanabeba abiria pale Mwenge kwa nauli ya elfu2000 hadi Mbezi.
  2. Jaber Job

    Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

    Sasa uajabu wake kama mwanamke...unatokea wapi hapo.Fafanua kidogo.....tafadhali.
  3. Jaber Job

    Hii inamaanisha nn kwa demu

    Unataka afunge macho?
  4. Jaber Job

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Furahia chochote unachopata hata kama ni kidogo....vijana wananifurahisha.Ni doze kwenda mbele! Yaani hatushikiki....!
  5. Jaber Job

    Breaking newz:ndege iliyopotea yapatikana

    Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
  6. Jaber Job

    Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

    Kwahiyo unataka awe ndio mzee kwa kila unachosema hata kama hakina maana au hakijengi?
  7. Jaber Job

    Ulikua una penda mchezo gani enzi za utoto wako?

    Rede nazo zilikuwa zina type. 1. Rede ya kawaida 2. Rede ya vijiti 3. Rede ya Mateka 4. Rede ya Mchanga..nk Pia mchezo wa kula mmbakishie Baba.Unakula ukidondosha kijiti,unachezea kichapo hadi ufike kwa kushika!"
  8. Jaber Job

    Uchungu

    Ruth unakaribia nini? Usiogope...! Kinachofanyika ni hicho wachangiaji wamekueleza! Kila lakheri kama ni mtarajiwa.
  9. Jaber Job

    LL.B 1st class holder

    Hukuona nafasi za TPDC?
  10. Jaber Job

    Umri gani sahihi mtoto kuingia chekechea!!

    Mimi wangu alikuwa wa umri huo alikuwa anasumbua sana....mama nataka kwenda shule,akiamka tu ndio ulikuwa wimbo. Nikampeleka shule akiwa na miaka 3 na miez9....week ya kwanza ilipoisha akaja style nyingine.Mama sipendi shule....! Alikuja kuzoea lakini. Angalizo: Miaka4 kwenda mitano ni muda...
  11. Jaber Job

    Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

    Kwanza kabisa kama waipenda nafsi yako ukapime.....! Ni ngumu ila hiyo ndio kweli itakayokuweka huru.
Back
Top Bottom