Kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa Malaysia, ndege hiyo imethibitika kuzama katika bahari ya Hindi karibu na Australia.source east africa radio
======================================================= Ndege hiyo wala mabaki yake bado hayajapatikana
=======================================================
BREAKING NEWS: Ndege iliyopotea ya Malaysia Flight 370 yapatikana huko Southern Indian Ocean.
Taarifa zinaonesha kuwa abiria wote 239 waliokuwa kwenye hiyo ndege wamekufa.
source: East Africa Radio
So sad news jamani. Mungu awajalie tumaini la moyo wafiwa. Kuna mama mmoja mchina juzi alikaririwa na BBC akiwa na matumaini kuwa muwewe hajafa na anategemea kuona akimpigia simu, "I will be very very happy to see his name appearing in my phone....".Alikuwa anaongea kama amechanganyikiwa hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.