Recent content by Ja60 beaber

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Glass and Aluminium

    Hii biashara ya aluminium profile hata mm Nina interest nayo sana pia nmeshafanikiwa kufanya research kwa suppliers na masoko bt changamoto ni frem kwaajil ya kuuzia na kitengenezea
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natoa mikopo ya dharura kuanzia Tshs laki 5

    Ktk biashara ya kukopesha pesa inahitaj mahusiano mazur na jamii yako kwanza na pia uvumilivu sio kila kitu kinahitaj sheria bali busara sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Najilaumu kwa kupoteza muda mwingi kukusanya nguvu za kupasulia mayai kwa nyundo

    Unaweza kudhan utambadilisha kumbe uwezekano wa kukubadilisha ww ni mkubwa zaid
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa

    Nifuge ng'ombe wa kazi gan wakat napata maziwa daily
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa

    Mmoja akijitahid kubana wengine wanaachia
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtu na kaka yake, kosa langu ni lipi hapa?

    Mbona simple tu kama kaka hakula mzigo basi mkaushie tu endelea Kula Raha na Dogo
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukubali tukatae, tumekosea tena

    Hata tupewe miaka 50 ijayo hatuwez kufufuka
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya pikipiki bora

    TVS ni imara pia ina fuel consumption ndogo sana yan inanusa patrol
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya pikipiki bora

    Mkuu nakushauri ununue TVS
  10. J

    JamiiForums Tanzania Generator error, msaada unahitajika

    Jaribu kuconnect accessories zingine direct kweny hyo generator kama itafanya kazi ndipo utagundua shida iko wapi
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

    Nape fanya yote lakini usiingilie hadi smartphone yangu coz hujanichangia hata dala kuinunua.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Eritrea yatoa amri kila mwanaume kuoa wake wawili

    Kwann hyo mambo isiletwe tz tu?
  13. J

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Tutakuwa tunaangalia kupitia stations zingine zinazoweza kwenda bungeni kutafuta matangazo otherwise napo wawakataze. Tired of this Napeeee:mad::mad::mad::mad::mad:
Back
Top Bottom