Watanzania tukubali tukatae, tumekosea tena

Mwisho tusioiamini ccm hatutaumia sana maana tulijiandaa.ila nchi hii inatia aibu.
 
2020 ccm ahadi zao zitakua
elimu bure
maji kila nyumba
ajira
bunge kuoneshwa live tbc
na watanzania tulivokua ma zombi tutawachagua tena
Tena ukianza kuzungumzia vitu vya bure.waalimu watakutoa macho maana laptop azijawafikia mpaka sasa.
 
CCM wakikosea suluhu ni kuamua wanachotaka. Wewe ni mchezaji wa timu moja unaamua kushika filimbi mwenyewe. Kama CCM walivyofanya Chenge na kashfa zake zote awe mwenyekiti wa Bunge,ndivyo alivyotenda Sharif kujitangaza mwenyewe.
 
Nini kimekufanya kusema kuwa Serikali ya JMT haijafanya interventions Zanzibar?...ziwe unazotaka wewe au usizozitaka.

Sababu ipi unaweza kuitoa kuwa kiongozi hajali maslahi ya watu wa chini??
UNAJUA HATA UNACHO JIBU ?
 
Hahahaha,ukiwaona kwenye midahalo ya kampeni kama wazalendo kweli wakipewa hela ya gongo usiku wa kupiga kura asubuhi wanasahau na kuchagua tena ccm,hivi ni nani ameturoga,Dah!!

Ndg kumbuka ccm haikuchaguliwa 2015 Bali waliiba ushimdi kwahyo usiwalaumu wananchi bali walaumu wabunge wako wanaotunga sheria za kipumbavu

Yaani unaendaje kwenye uchaguzi na huku huna Tume huru unadhani utashinda na utangazwe? We we nani? Tuache kulaumu watanzania bure
Na hata kama 2020 dizaini ya uchaguzi itakuwa kama hii hii wala sitajisumbua kupoteza mda wangu kwenda kupiga kura
 
Tulijipa moyo baada ya kuona push ups na viduku tukajua sasafari hii CCM watakua wapya kabisa baada ya kutudanganya kwa miaka zaidi ya 50.

Lakini sasa ni wazi tumekosea zaidi ya mara zote...

Kiongozi wa nchi ambaye hajali masilahi ya wananchi wa chini ambao ndo hasa wapiga kura huyo mtu ni mbaya sana,

Zanzbar karibia hali ya hewa inachafuka yeye wala mapigo ya moyo haya shituki!

Mzazi wa dunia ipi anayeona wanawe wanataka kutoboana macho asitafute nanî mchokozi na kuwarekebisha?
Tuliwambia CCM ni ile ile hapa wanatafuta kufichiana zambi tu hakuna jipya
 
Ndg kumbuka ccm haikuchaguliwa 2015 Bali waliiba ushimdi kwahyo usiwalaumu wananchi bali walaumu wabunge wako wanaotunga sheria za kipumbavu

Yaani unaendaje kwenye uchaguzi na huku huna Tume huru unadhani utashinda na utangazwe? We we nani? Tuache kulaumu watanzania bure
Na hata kama 2020 dizaini ya uchaguzi itakuwa kama hii hii wala sitajisumbua kupoteza mda wangu kwenda kupiga kura
Ok,nimekuelewa
 
Nini kimekufanya kusema kuwa Serikali ya JMT haijafanya interventions Zanzibar?...ziwe unazotaka wewe au usizozitaka.

Sababu ipi unaweza kuitoa kuwa kiongozi hajali maslahi ya watu wa chini??
Malim Seif mara zote yeye ndiye anaomba kuongea na Shein na Magufuli huoni hapo tu panatia shaka?
au na wewe umenunuliwa?
 
Kiukweli mambo si mazuri sana kwenye hii nchi kina Chagonja wameshushwa chini
 
Kama kweli mlishinda mnaogopa nn kurudiwa uchaguzi nyinyi si mlijifanya wajanja mtu wenu kaleta mihemko kajitangazia ushindi mnataka tufanyeje andamaneni suseni nendeni kokote uchaguzi uko pale pale
Una upungufu wa madini ya ufahamu wewe jaribu kula mrenda kila siku mara tatu labda ufahamu unaweza kukurudia.
 
Hatukuwa na wapinzani wa kutosha kuwapa nchi, magufuli alikuwa ni bora kuliko huo upinzani wa kuunga Unga. Upinzani wa kuleta wale wale wachafu na tuliowaponda kwenye mavazi mapya masafi! Mimi nilikuwa UKAWA hadi pale nilipoona chukizo la uharibifu limesimama patakatifu.
Huna uelewa wewe afadhali ungezaliwa jiwe ungekuwa na faida.
Kenya Mwai Kibaki alikuwa kanu mpaka mwisho akajiunga na kuleta mabadiliko ya kweli. Pia kumbuka Mwai Kibaki ni Mmoja wa mafisadi wa Kenya katika wakenya wanne wanaomiliki nusu aridhi ya Kenya naye yumo. Ila ndiye Rais pekee aliyeleta mabadiliko ya kweli.
 
Tulijipa moyo baada ya kuona push ups na viduku tukajua sasafari hii CCM watakua wapya kabisa baada ya kutudanganya kwa miaka zaidi ya 50.

Lakini sasa ni wazi tumekosea zaidi ya mara zote...

Kiongozi wa nchi ambaye hajali masilahi ya wananchi wa chini ambao ndo hasa wapiga kura huyo mtu ni mbaya sana,

Zanzbar karibia hali ya hewa inachafuka yeye wala mapigo ya moyo haya shituki!

Mzazi wa dunia ipi anayeona wanawe wanataka kutoboana macho asitafute nanî mchokozi na kuwarekebisha?
sasa wewe si unataka seif kujitangazia mwenyewe urais ndio iwe suluhu? sasa wenzake hawakubali uhuni. seif na cuf siku zote wanajidai ndio washindi kitu ambayo ni uongo. hadi zec inafuta matokeo ccm ndio walikua wanaongoza mbona wao hawalazimishi kutangazwa washindi? watu wasifanyiane masihara.
 
Back
Top Bottom