Kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa

usiwaponde wadada wanatupenda sana. ila kimaisha tunachelewa kujipanga so inabidi ahamie tu kuunga mkono wakati tunajipanga wakati nae anakimbizana na umri wa kuzaa na kuwa na uhakika wa mashine daily kuguswa...
 
Habari za mda huu wana jamvi

Dada zangu kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa. Siku izi ni jambo la kawaida kua na demu unaishi naye kama mke yani kila kitu kinachopatikana ktk ndoa unapewa yan cku izi madem sio wachoyo unatafuna adi unachoka mwenyewe. Tena inawezekana tunapewa zaid ya wale walioko kwenye ndoa kwa sababu ya kuofia kuachwa kwa hawa wadada.

Mwanzoni nilidhan labda nna bahati ya kupendwa kumbe kila njemba inayopata bahati ya kua dem inapewa kila kitu sasa kwa style iyo naoa ili iweje wakati kila kitu napata dada zangu tengenezen mazingira ya kutubania kidogo ili tutaman kuwao la sivyo tutaendelea kuwatufuna na ndoa hakuna.
Ni uzinzi na mungu atakuazi

Ni uzinzi na mungu atakuazibu, la taqrab zinaa
 
Utapondwa sana kwa bandiko lako, lakini huo ndio ukweli. Kama napata kila kitu, nafuliwa, napikiwa, tunaishi na kulala kitanda kimoja, tunapanga future wote...what's the point kuoa? Na mara nyingi tu baada ya miaka kadhaa hakuna cha ndoa, kila mtu atachukua hamsini zake...
Aliyesema usizini/usifanye uasherati anaonekana mjinga...smh!
 
Sio lazima uoe kama unauewezo wa kupata free p na free dyudyu. Huwasikii wanandoa wanavyolia kila siku hapa...usioe mkuu. Ndoa sio kwaajili yako...ndoa zina wenyewe.
 
Nafikiri ulitaka kuiweka hivi: 'Sio lazima uoe/uolewe kama unauewezo wa kupata free p au free dyudyu. Huwasikii wanandoa wanavyolia kila siku hapa...usioe/usiolewe mkuu. Ndoa sio kwaajili yako...ndoa zina wenyewe' ~Si nimepatia mtani?
 
Ni hivyo hivyo yaani mtani hujakosea. Asante kwa kuiweka sawa. Watu wanalamika sana kila siku. Mara wadada sijui nini,ndo maana hamuolewi..mambo kibaoooo. Wengine mke wangu/mume wangu sijui kafanya nini.
jamani ndoa si kwaajili ya watu wote. Mnaolalamika sana mjue kuwa ndoa si size yenu waacheni wanazozielewa, kuna watu wapo kwenye ndoa na hawalalamiki yaani ni peace tu. Na wadada/wakaka wengi tu wanaolewa/wanaoa kila siku iendayo kwa Mungu na wapo vizuri tu.
ukiona unalalamika au unaponda sana kuhusu ndoa ujue ndoa si size yako. Tafuta aina nyingine ya kutimiza haja zako.
 
You are my best fan ever in JF!
 
Well said girl. Wengi wanafosi tu, hawana uwezo wa kustahamili changamoto za ndoa. Lifestyle yake, kulinganisha na aina ya mume/mke aliyenaye ni mbingu na ardhi, wawaachie wengine wafurahie maisha ya ndoa, sio kulalama ovyo kila siku.
 
Mi huwa nawashangaa wanaume wenye maneno kama yako ETI WANAWAKE MUWE MNATUBANIA kwani ni nyie tu ndo mnazitaka papuchi? Sie hatuna nyege? Tubane halafu? Mxyuuuuuu
 
Binadamu hatuna shukurani na ni vigeu geu... ukibaniwa unachukia.. ukipewa unaongea ongea... fuata itikadi zako na iache dunia iamume mengine...
 
Lakini turudi katika ukalisia, hivi inwezekana mtu hajakuoa uende kwake upige wiki? Seriously??? Hapo hotel' ni za nn? Kila mtu na maisha yake tuko tofauti, loh mama yangu anaweza niuwa loh
 
Habari za mda huu wana jamvi

Dada zangu kwa style hii dada zangu sahau kuhusu ndoa. Siku izi ni jambo la kawaida kua na demu unaishi naye kama mke yani kila kitu kinachopatikana ktk ndoa unapewa yan cku izi madem sio wachoyo unatafuna adi unachoka mwenyewe. Tena inawezekana tunapewa zaid ya wale walioko kwenye ndoa kwa sababu ya kuofia kuachwa kwa hawa wadada.

Mwanzoni nilidhan labda nna bahati ya kupendwa kumbe kila njemba inayopata bahati ya kua dem inapewa kila kitu sasa kwa style iyo naoa ili iweje wakati kila kitu napata dada zangu tengenezen mazingira ya kutubania kidogo ili tutaman kuwao la sivyo tutaendelea kuwatufuna na ndoa hakuna.
mkeo yupo na jamaa mwingine wanafanya hayo makitu wakidhani kwamba wataoana,,..nawewe huyo ulie nae ni mke wa mtu wa badaae,..kitumie vizuri cha mwenzio......teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom